Viwanja.dar.pwani

Viwanja.dar.pwani WAUZAJI NA WANUNUAJI WA VIWANJA DAR NA PWANI

CONGRATULATIONS TO OUR NEW LANDLORD! 🥂🏡Mkataba tayari umeshasainiwa! Hakuna kinachoshindikana ukiwa na nia.📍 Viwanja vip...
14/04/2026

CONGRATULATIONS TO OUR NEW LANDLORD! 🥂🏡
Mkataba tayari umeshasainiwa! Hakuna kinachoshindikana ukiwa na nia.
📍 Viwanja vipo: Kigamboni, Kibaha & Kiluvya.
💰 Ofa: Milioni 1 tu unashika kiwanja chako!
Wahi sasa kabla ya mapumziko ya wiki kuisha!
Piga simu: 0767358229

Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni na viunga vyake usisite kututafuta kwa namba hapo juu ya bango tupo kwaajili...
13/04/2026

Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni na viunga vyake usisite kututafuta kwa namba hapo juu ya bango tupo kwaajili ya kuhakikisha kila mwenye nia na dhati ya kumiliki ardhi hapa mjini Dar es salaam ana miliki bila shaka yoyote.
Call: 0767358229

Chukua hii tunaposema tunauza viwnja vilivyo pimwa tuna maanisha hapo juu ni ramani ya Mipango miji katika mradi wetu wa...
13/04/2026

Chukua hii tunaposema tunauza viwnja vilivyo pimwa tuna maanisha hapo juu ni ramani ya Mipango miji katika mradi wetu wa kigamboni Mwasonga Mkamba project.

RAMANI YA MIAPANGO MIJI NI NINI..?
ni ramani maalum inayotumika kuonyesha jinsi eneo la mji au jiji linavyopangwa na kutumika/matumuzi ya eneo.

Kwa kifupi, ramani hii huonesha:
• Mgawanyo wa maeneo (makazi, biashara, viwanda, n.k.)
• Barabara na miundombinu (njia, reli, huduma za maji na umeme)
• Maeneo ya huduma za jamii (shule, hospitali, bustani)

Ni chombo muhimu katika taaluma ya Urban Planning kwa sababu husaidia kupanga maendeleo ya miji kwa mpangilio mzuri, kuzuia msongamano, na kuboresha maisha ya wakazi.

Kwa lugha rahisi: ni “ramani ya mpango wa mji” inayoonyesha mji utatumikaje kwa sasa na baadae.

Kwa maelezo zaidi tupigie : 0767 358 229 #

05/02/2026
Wiwanja vipo Kigamboni Mwasonga MkambaKilomita 2.5 kutoka barabaraniSize ya Viwanja ni kuanzia Sqm 400 - 1000+Bei ni Tsh...
25/01/2026

Wiwanja vipo Kigamboni Mwasonga Mkamba

Kilomita 2.5 kutoka barabarani

Size ya Viwanja ni kuanzia Sqm 400 - 1000+

Bei ni Tsh 8000/= tu kwa Sqm moja

Anza na Tsh: 1,000,000/=Tu

Malipo yanayo baki utalipia kwa (MIEZI 12)

Viwanja vyote vimepimwa Hati ni uhakika

Call : 0767 358 229

Barabara ya lami kuelekea Mwasonga inaendelea kujengwa kwa ubora wa juu sana na speed ya watu kununua maeneo kujenga mak...
24/01/2026

Barabara ya lami kuelekea Mwasonga inaendelea kujengwa kwa ubora wa juu sana na speed ya watu kununua maeneo kujenga makazi na kuhamia Mwasonga imeongezeka sana.

Ushauri: Mwasonga ya leo siyo Mwasonga ya miaka miwili au mitatu inayo kuja K**a utakuwa na uwezo wa kununua Viwanja Mwasonga nunua sasa bila kukawia kwa maana itafika wakati bei zitakuwa hazikamatiki na hautokuwa na wakumlaumu maana uliziona fursa ukazipuuzia

NB: tumekusogezea mradi mzuri sana wa viwanja upo Ki Kigamboni Mwasonga mtaa wa Mkamba kwa bei sawa na bure kabisa ya Tsh: 8000/= Tu kwa square meter

Anza na malipo ya Tsh : 1,000,000/= Tu kiasi kinacho baki lipia kidogo kidogo kwa miezi 12 Tu (Mwaka mmoja)
: 0767358229

23/01/2026

Viwanja Bado vipo kwa wingi sana kigamboni Mwasonga
Malipo ni cash na kidogo kidogo mpaka miezi 12

Wekeza sasa Kigamboni utanishukuru baada ya mwaka mmoja mbele…..✍️✍️✍️

Call 0767 358 229

21/03/2025

2025 KUMENOGA 🔥MILIKI KIWANJA KWA KULIPA KIDOGO KIDOGO 🔥🔥🔥

📍📍JIPATIE KIWANJA KILICHOPIMWA KIGAMBONI MWASONGA KWA KULIPIA KIDOGO KIDOGO HADI 183,000/= KWA MWEZI TU.

✅LIPIA TSH 1,000,000/=kama malipo ya awali, kiasi kinacho baki lipia 183,000/=kila mwezi kwa MIEZI KUMI NA MBILI (12).

✅HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA (MAJI, UMEME, BARABARA, MADUKA, MAJIRANI N.K)

✅KUNAFIKIKA BILA TATIZO LOLOTE

✅ KWENDA SITE KUONA VIWANJA NI KILA SIKU.

📍OFISI ZETU ZIPO KIGAMBONI MJIMWEMA (skanska)

MAWASILIANO PIGA: 0767-358-229
WHATSAPP: 0767-358-229

Tanzanians in the USA Embassy of Denmark in Tanzania Türkiye in Tanzania UK in Tanzania French Embassy in Tanzania Embassy of Japan in Tanzania - 在タンザニア日本国大使館 Embassy of Belgium in Tanzania European Union in Tanzania GOS TOUR In ZANZIBAR TANZANIA Investments In Tanzania Embassy of China in Tanzania Embassy of the Netherlands in Tanzania Tanzania Safari Expats in Arusha , Moshi , Mwanza and Tanzania at Large

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Viwanja.dar.pwani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category