Viwanja na Rejaa Real Estate

Viwanja na Rejaa Real Estate Wauzaji wa viwanja vilivyopimwa Kigamboni, Bagamoyo Mapinga, Makurunge, Kibaha na wanunuzi wa maeneo.

06/11/2025
Wekeza sasa katika ardhi mjini Bagamoyo, jirani kabisa na miradi ya kimkakati ya kukuza uchumi k**a vile bandari, eneo l...
13/10/2025

Wekeza sasa katika ardhi mjini Bagamoyo, jirani kabisa na miradi ya kimkakati ya kukuza uchumi k**a vile bandari, eneo la viwanja la EPZ

0714148345

🏠0714148345
13/10/2025

🏠0714148345

13/10/2025

Hapa mjini kabisa ndugu Mtanzania, fursa adimu kabisa kwa nyakati hizi za gombania goli.

🏠0714148345

20/04/2025
NALA DODOMA MJINI PROJECTViwanja vipo KM 6 kutoka mjini kati na mita 100 kutoka main road ya Dodoma-SingidaBei kwa malip...
19/04/2025

NALA DODOMA MJINI PROJECT
Viwanja vipo KM 6 kutoka mjini kati na mita 100 kutoka main road ya Dodoma-Singida

Bei kwa malipo ya cash
Mita mraba moja (Sqm 1) ni 23,000/-

Bei kwa malipo ya kila mwezi
Mita mraba moja (Sqm1) ni 25,000/-

Mradi umezungukwa na makazi ya watu pamoja na huduma zote za kijamii.
Siku za kwenda site ni Jumatano, Jumamosi na Jumapili.
Ofisi zipo Jengo la Imarika Building
Floor ya 2, Dodoma.

Jengo la Mwanga Tower, Floor ya 12 Makumbusho, Dar es Salaam.
Simu na. 0714148345

03/04/2025
Chamwino Dodoma sio mahali pakuacha kuwekeza katika ardhi kabisa kutokana na fursa zilizopo Dodoma 0714148345
29/03/2025

Chamwino Dodoma sio mahali pakuacha kuwekeza katika ardhi kabisa kutokana na fursa zilizopo Dodoma
0714148345

Jiji linategemewa kuwa mega city miaka michache ijayo kutokana na idadi ya wananchi na wakazi ndani ya jiji kuongezeka k...
28/03/2025

Jiji linategemewa kuwa mega city miaka michache ijayo kutokana na idadi ya wananchi na wakazi ndani ya jiji kuongezeka kila kukicha na miji midogo kuendelea kukua kwa kasi kutokana na sekta ya ardhi nyumba na makazi kuendelea kuwa ndio chachu ya haya yote.
Wekeza sasa katika ardhi kwani ndio msingi namba moja wa uzalishaji mali.

Prime location kwa ujenzi wa nyumba ya makazi  Dodoma mjini ni Nala Hapa tunamradi wa viwanja vya makazi na biashara kwa...
13/03/2025

Prime location kwa ujenzi wa nyumba ya makazi Dodoma mjini ni Nala

Hapa tunamradi wa viwanja vya makazi na biashara kwa malipo nafuu na rahisi kabisa.

Lengo ni kukuwezesha Mtanzania mwenzetu umiliki kiwanja chako bila msongo wa mawazo kutokana na malipo ya mkupuo

Malipo ya cash ni ndani ya miezi 3 na malipo ya kila mwezi (Instalments) kwa miezi 12 inawezekana.
Wasiliana nasi sasa
0714148345

Address

Bunju Sokoni, Near Dubai Energies Petrol Station
Dar Es Salaam
14107

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Viwanja na Rejaa Real Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Viwanja na Rejaa Real Estate:

Share