14/09/2026
π₯π‘ VIWANJA KIBAHA β PICHA YA NDEGE (SOFU)! π‘π₯
Unatafuta kiwanja kizuri kwa ajili ya kujenga nyumba au kufanya uwekezaji wa muda mrefu? Hii ni fursa nzuri ya kumiliki ardhi katika eneo lenye mazingira mazuri na linaloendelea kukua! π±π
π Eneo: Kibaha β Picha ya Ndege (Sofu), upande wa kushoto, jirani na Chuo cha Biblia
π Ukubwa wa kiwanja: 20 Γ 20
π° Bei: TSh 5,000,000 β 6,000,000
π£οΈ Umbali: Kilomita 6 tu kutoka Morogoro Road
π§β‘ Huduma za kijamii: Zipo
π Kwenda site: Kila siku!
β¨ Usisubiri eneo likue ndipo ununue β nunua mapema, jenga kesho au wekeza kwa faida ya baadaye!
π Wasiliana nasi sasa: 0621 686 409
π Ofisi: Mlandizi Mjini | Bunju Beach β Dar es Salaam
π LARRYβS REAL ESTATE AGENCY
Letβs build your future.