Pesambili Properties Ltd

Pesambili Properties Ltd badili aridhi kuwa ndoto ya Kweli ya nyumba yako. tuna uza viwanja mawasiliano namba +255711677199

Yaani hata Kiwanja Cha Milion 1.2 kikushinde kweli?  Hivi unajisikiaje unashika simu ya Milioni 2 mkononi, alafu unashin...
23/12/2025

Yaani hata Kiwanja Cha Milion 1.2 kikushinde kweli? Hivi unajisikiaje unashika simu ya Milioni 2 mkononi, alafu unashindwa kumiliki kiwanja cha Milioni 1.2? Tena Kigamboni, na Bei hii hupati popote pale zaidi ya kwetu hapa.

Tajiri usikubali kabisa umalize mwaka kinyonge bila kumiliki Kiwanja Kigamboni. Nipigie 0711677199.

20/12/2025
Hii ni Ofa Kabambe katika msimu huu wa mwisho wa mwaka. Sasa unaweza kumaliza mwaka kwa kumiliki kiwanja mjini kwa bei n...
30/11/2023

Hii ni Ofa Kabambe katika msimu huu wa mwisho wa mwaka. Sasa unaweza kumaliza mwaka kwa kumiliki kiwanja mjini kwa bei nafuu sana yani Tsh mil 3 tu. Unanunua kiwanja sehemu ambapo majirani wapo wanaishi na wamejenga nyumba za Kisasa. 0711677199/0744847199

⏭ VIWANJA HIVI VINAPATIKANA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO MBELE KIDOGO YA DEGE ECO VILLAGE. Ni nyuma ya Chuo cha Afya cha KIGAMBONI CITY COLLEGE. Ni umbali wa km 1 toka lami.

⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, vimepimwa viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme,maji,shule hapohapo, hospital..

⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara k**a kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, hostel za chuo au Fremu za maduka..

⏭ Ukubwa wa viwanja umeanzia ;
Futi 50X40 Kwa milion 3
Futi 50X80 (Sqm 400) Kwa milion 6.
Futi 100X80(Sqm 800) Kwa milion 12
Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya vinne kulinganana na Bajeti yako ni wewe tu.
Malipo ni Cash.

⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 19, unapanda gari moja tu tokea Ferry, unapanda gari za Cheka unashukia Kona ya Chuo. Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199

OFA YETU BADO INAENDELEA. Unajua unaweza kumiliki kiwanja mjini kwa bei nafuu sana yani Tsh mil 3 tu. Unanunua kiwanja s...
22/11/2023

OFA YETU BADO INAENDELEA. Unajua unaweza kumiliki kiwanja mjini kwa bei nafuu sana yani Tsh mil 3 tu. Unanunua kiwanja sehemu ambapo majirani wapo wanaishi na wamejenga nyumba za Kisasa. 0711677199/0744847199

⏭ VIWANJA HIVI VINAPATIKANA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO MBELE KIDOGO YA DEGE ECO VILLAGE. Ni nyuma ya Chuo cha Afya cha KIGAMBONI CITY COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES. Ni umbali wa km 1 toka lami.

⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, vimepimwa viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme,maji,shule hapohapo, hospital..

⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara k**a kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, hostel za chuo au Fremu za maduka..

⏭ Ukubwa wa viwanja umeanzia ;
Futi 50X40 Kwa milion 3
Futi 50X80 (Sqm 400) Kwa milion 6.
Futi 100X80(Sqm 800) Kwa milion 12
Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya vinne kulinganana na Bajeti yako ni wewe tu.
Malipo ni Cash.

⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 19, unapanda gari moja tu tokea Ferry, unapanda gari za Cheka unashukia Kona ya Chuo. Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199

Jamani viwanja vimebaki vichache karibu sana. Bei inaanzia milion 3  na kuendelea
22/11/2023

Jamani viwanja vimebaki vichache karibu sana. Bei inaanzia milion 3 na kuendelea

HII OFA NI KWA AJILI YAKO. K**a wewe ni mmoja wa watu ambao Unatafuta kiwanja kizuri karibu na mji na kwa bei ndogo sasa...
09/11/2023

HII OFA NI KWA AJILI YAKO. K**a wewe ni mmoja wa watu ambao Unatafuta kiwanja kizuri karibu na mji na kwa bei ndogo sasa umepata. Viwanja vinapatikana KIGAMBONI MWEMBE MDOGO KARIBU NA CHUO CHA AFYA(KIGAMBONI CITY COLLEGE), KWA BEI YA MILION 3 TU. 0711677199/0744847199

Viwanja ni vizuri sana, vimezungukwa na nyumba za kisasa, Eneo lote limezungukwa na huduma za kijamii k**a Umeme, Maji, Shule, Zahanati n.k
Ni eneo zuri kwa kujenga nyumba ya kuishi, biashara, au hostel za wanafunzi wa chuo…

Ukubwa wa viwanja umeanzia ;
Futi 50X40 Kwa milion 3
Futi 50X80 (Sqm 400) Kwa milion 6.
Futi 100X80(Sqm 800) Kwa milion 12
Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya vinne kulinganana na Bajeti yako ni wewe tu.
Malipo ni Cash. Na Bei haipungui..

Umbali kutoka Ferry ni km 19, na kutoka barabara ya Lami mpaka site ni km 1. Usafiri ni uhakika. Kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199

Kipindi hiki cha Mvua ndio muda sahihi wa kuja kuangalia na kununua kiwanja. Tupo kwa ajili ya kukuhudumia. Bei ni nafuu...
02/11/2023

Kipindi hiki cha Mvua ndio muda sahihi wa kuja kuangalia na kununua kiwanja. Tupo kwa ajili ya kukuhudumia. Bei ni nafuu sana.

HII HAIJAWAHI KUTOKEA. NI OFA YA KIPEKEE YA VIWANJA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO KARIBU NA CHUO CHA AFYA(KIGAMBONI CITY COLLEG...
31/10/2023

HII HAIJAWAHI KUTOKEA. NI OFA YA KIPEKEE YA VIWANJA KIGAMBONI MWEMBE MDOGO KARIBU NA CHUO CHA AFYA(KIGAMBONI CITY COLLEGE), KWA BEI YA MILION 3 TU. 0711677199/0744847199

Viwanja ni vizuri sana, vimezungukwa na nyumba za kisasa, Eneo lote limezungukwa na huduma za kijamii k**a Umeme, Maji, Shule, Zahanati n.k
Ni eneo zuri kwa kujenga nyumba ya kuishi, biashara, au hostel za wanafunzi wa chuo…

Ukubwa wa viwanja umeanzia ;
Futi 50X40 Kwa milion 3
Futi 50X80 (Sqm 400) Kwa milion 6.
Futi 100X80(Sqm 800) Kwa milion 12
Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya vinne kulinganana na Bajeti yako ni wewe tu.

Umbali kutoka Ferry ni km 19, na kutoka barabara ya Lami mpaka site ni km 1.5 Usafiri ni uhakika. Kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199.

BEACH PLOT:  Vimebaki viwanja Kumi Tu. Hii ni ofa ya kipekee kwa ajili yako. Pata kiwanja kwa bei ya milion 6 kuanzia uk...
28/09/2023

BEACH PLOT: Vimebaki viwanja Kumi Tu. Hii ni ofa ya kipekee kwa ajili yako. Pata kiwanja kwa bei ya milion 6 kuanzia ukubwa wa SQM 400 na kuendelea. Ni mita 300 tu kutoka 𝗕𝗔𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 Mpaka kwenye viwanja. 𝘾𝘼𝙇𝙇/𝙒𝙃𝘼𝙏𝙎𝘼𝘼𝙋 0711677199/0744847199.

🏡Viwanja vyetu vinapatikana 𝗞𝗜𝗚𝗔𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜 𝗞𝗜𝗠𝗕𝗜𝗝𝗜. Km 35 kutokea FERRY. Na mita 500 kutoka barabara kubwa ya Ferry-Buyuni. Na mita 300 Kutoka beach (𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 3) 𝗘𝗡𝗘𝗢 𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗪𝗘𝗞𝗘𝗭𝗔𝗝𝗜.

𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗩𝗜𝗡𝗔𝗔𝗡𝗭𝗜𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗦𝗤𝗠 400 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗘𝗡𝗗𝗘𝗟𝗘𝗔.
➡️Bei ni Tsh 15000/= Kwa Kila 1sqm. Kwa mfano k**a unahitaji Kiwanja cha 400sqm hii ni sawa na (400x15000) = Tsh 6,000,000/=.

🌳Viwanja vyetu vimezungukwa na huduma zote za Kijamii k**a Maji, Umeme, Zahanati, Shule, hoteli nzuri k**a Anita's home, The Overhang beach, Sentiment homes n.k

WASILIANA MOJA KWA MOJA NA MMILIKI WA MRADI Call/Whatsap 0711677199/0744847199.

27/09/2023

Address

Dar Es Salaam
15118

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 14:00

Telephone

0659709139

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pesambili Properties Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share