Jat House

Jat House Jathouse is dealing with House Designs, Whereby People and other Companies will be in a position of posting and choose their Dream Houses and Offices.

Kazi kazi tupe kazi tufanye kazi
08/11/2015

Kazi kazi tupe kazi tufanye kazi

Luxury life
31/10/2015

Luxury life

Moja ya Hoteli maarufu duniani ipo dubai
31/10/2015

Moja ya Hoteli maarufu duniani ipo dubai

Simple and clear,  kwa wale wanaopenda nyumba ndogondogo
25/09/2015

Simple and clear, kwa wale wanaopenda nyumba ndogondogo

Unampa ngapi kwa uchoraji?
21/09/2015

Unampa ngapi kwa uchoraji?

Kuangalia ujenzi wa kisiwa hiki kikubwa zaidi kujengwa na binadamu click hapa https://youtu.be/0BXGh0EYJtE
20/09/2015

Kuangalia ujenzi wa kisiwa hiki kikubwa zaidi kujengwa na binadamu click hapa https://youtu.be/0BXGh0EYJtE

An awe-inspiring engineering feat, Dubai Palm Islands is definitely the largest artificial islands on earth. These Islands are three man made islands in the ...

Kisiwa kikubwa zaidi kutengenezwa duniani kipo DubaiKina urefu wa 520 kilometers umbali huu ni sawa na kutoka UBUNGO DAR...
20/09/2015

Kisiwa kikubwa zaidi kutengenezwa duniani kipo Dubai

Kina urefu wa 520 kilometers umbali huu ni sawa na kutoka UBUNGO DAR ES SALAAM hadi DODOMA mjini.

Awesome
18/09/2015

Awesome

Ukitaka kujua KIWANJA hakiozi dondosha SMARTPHONE sakafuni!
16/09/2015

Ukitaka kujua KIWANJA hakiozi dondosha SMARTPHONE sakafuni!

VYUMBA VITATU VINATOSHA Mgawanyo wa vyumba kimatumiziCHUMBA CHA KWANZA Kwa matumizi ya baba na mama mwenye nyumbaCHUMBA ...
14/09/2015

VYUMBA VITATU VINATOSHA

Mgawanyo wa vyumba kimatumizi

CHUMBA CHA KWANZA Kwa matumizi ya baba na mama mwenye nyumba

CHUMBA CHA PILI Kwa wageni wa k**e

CHUMBA CHA TATU Kwa wageni wa kiume

Najua unajiuliza mbona hamna chumba cha watoto?

Na mimi nakuuliza kuna tofauti gani kati ya Mgeni na mtoto karne hii?

Haaa unashangaa, ni lazima ushangae

Mtoto Anaenda boarding akiwa na miaka mingapi?

Mtoto analikizo ya muda gani kwa mwaka?

Mtoto anakaa nyumbani miezi mingapi akitoka shule?

By Jat House

www.jathouse.com

Address

Near Nyumbani Lounge, Upanga, DSM, TZ
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jat House posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category