Dodoma Landlord Company

Dodoma Landlord Company Nunua Viwanja Dodoma

11/10/2025

VIWANJA JIJI LA DODOMA Dodoma Landlord Company

Eneo:NALA CHINANGALI
Plot no:610
Block no:
Ukubwa ni:Sqm 923
Bei ni:Milioni 12.5(Tsh 12,500,000/= tu)
Kuna pagale lipo kwenye lenta, full documents

Ukiridhika-Tumefanikiwa😉
Mawasiliano:-
Simu ni +255 (0) 752464548
Mitandao ya Kijamii:-
Facebook,X,Ig na Thread ni
Email:[email protected]
Website:www.dodomalandlordcompany.com

VIWANJA JIJI LA DODOMA Dodoma Landlord Company Eneo:ILAZOPlot no: 71,72 na 74Block no:BBUkubwa:Sqm 554, 521 na 609Bei:Mi...
10/07/2025

VIWANJA JIJI LA DODOMA Dodoma Landlord Company

Eneo:ILAZO
Plot no: 71,72 na 74
Block no:BB
Ukubwa:Sqm 554, 521 na 609
Bei:Milioni 12 (Tsh 12,000,000/= tu)
Kiwanja kina full documents

Viwanja vipo eneo zuri kuna huduma zote, hiyo bei ni kwa kila Kiwanja kimoja.

Ukiridhika-Tumefanikiwa 😉
Mawasiliano:-
Simu ni +255 (0) 752464548
Mitandao ya Kijamii:-
Facebook,X,Ig na Thread ni
Email:[email protected]
Website:www.dodomalandlordcompany.com

KIWANJA JIJI LA DODOMA Dodoma Landlord Company Eneo:Kiwanja Nala(Suma JKT)Plot no:507Block no:DUkubwa:Sqm 600Bei:Milioni...
11/05/2025

KIWANJA JIJI LA DODOMA Dodoma Landlord Company
Eneo:Kiwanja Nala(Suma JKT)
Plot no:507
Block no:D
Ukubwa:Sqm 600
Bei:Milioni 4.3(Tsh 4,300,000/= tu)
Kiwanja kina HATI

Mawasiliano:-
Simu ni +255 (0) 752464548
Mitandao ya Kijamii:-
Facebook,X,Ig na Thread ni
Email:[email protected]
Website:www.dodomalandlordcompany.com

VIWANJA JIJI LA DODOMA Dodoma Landlord Company Mwangaza-Ukubwa wa Sqm 1048-Block no B-Plot no-Bei ni Tsh 60,000,000/= tu...
20/04/2025

VIWANJA JIJI LA DODOMA Dodoma Landlord Company
Mwangaza
-Ukubwa wa Sqm 1048
-Block no B
-Plot no
-Bei ni Tsh 60,000,000/= tu(Milioni 60 tu)

Njedengwa Investment
-Ukubwa Sqm 1427
-Block no H
-Plot NO 18
-Bei Tsh 170,000,000/= tu(Milioni 170 tu)

Ukiridhika-Tumefanikiwa😉
Mawasiliano:-
Simu ni +255 (0) 752464548
Mitandao ya Kijamii:-
Facebook,X,Ig na Thread ni
Email:[email protected]
Website:www.dodomalandlordcompany.com

VIWANJA JIJI LA DODOMA. 1.Miganga West. -Ukubwa wa Sqm 446-Block no K-Plot no 108-Bei ni Tsh 5,000,000/= tu(Milioni 5 tu...
18/04/2025

VIWANJA JIJI LA DODOMA.

1.Miganga West.
-Ukubwa wa Sqm 446
-Block no K
-Plot no 108
-Bei ni Tsh 5,000,000/= tu(Milioni 5 tu)
Njoo twende site ukaone kutoka Mjini ni 7km peke yake.

2.Wia Extansion.
-Ukubwa Sqm 402
-Block no AA
-Plot NO 389
-Bei Tsh 3, 500,000/= tu(Milioni 3.5 tu)

Kiwanja kipo nyuma ya Stand Mnada Mpya 2km peke yake.

Ukiridhika-Tumefanikiwa 😉
Mawasiliano:-
Simu ni +255 (0) 752464548
Mitandao ya Kijamii:-
Facebook,X,Ig na Thread ni
Email:[email protected]
Website:www.dodomalandlordcompany.com

FURSA BADILI SHAMBA KUWA VIWANJA JIJI LA DODOMA. -Naomba nikusanue maana inawezekana hauamini process ila ukielewa itaku...
05/04/2025

FURSA BADILI SHAMBA KUWA VIWANJA JIJI LA DODOMA.
-Naomba nikusanue maana inawezekana hauamini process ila ukielewa itakufanya hata usipoamini uwe unaelewa hakuna Miujiza ni kanuni ya UWEKEZAJI.

-Njoo nikuuzie Shamba Heka moja(Sqm 4000)kwa Milioni Mbili na Laki Tano(Tsh 2,500,000/=) Maeneo ambayo yatapimwa ndani ya Miezi 6 ijayo Mpunguzi, Mbabala, Zuzu na Matumbulu ukipima Utapata Viwanja 6 vya Sqm 600 kila kimoja.

-Ukiuza bei zetu za ndani utauza Tsh 1,500,000/= kwenye Viwanja vyote 6 utapata Milioni 9 kwa Heka moja na ukisubiri Uuze kwa bei za Soko ambazo haipungui Milioni 3 kwa Kiwanja kimoja Jumla utapata hapo....

Ukiridhika-Tumefanikiwa 😉
Mawasiliano:-
Simu ni +255 (0) 752464548
Mitandao ya Kijamii:-
Facebook,X,Ig na Thread ni
Email:[email protected]
Website:www.dodomalandlordcompany.com

HADITHI FUPI YA UJENZI.Mteja alikuja Ofisi za Dodoma Landlord Company kwaajili ya kununua Kiwanja, baada ya kununua tuka...
29/03/2025

HADITHI FUPI YA UJENZI.
Mteja alikuja Ofisi za Dodoma Landlord Company kwaajili ya kununua Kiwanja, baada ya kununua tukamshauri kuhusu RAMANI, VIBARI VYA UJENZI NA BOQ PIA HP ilikuwa hivi...

DLC:Karibu, pia tunatoa Vibari vya Ujenzi pamoja na Ramani na tunakupa BOQ kila kitu kutoka kwenye Mamlaka za Kiserikali.

MTEJA:😂😂😂 Mimi sihitaji Vibari nina Ndugu yangu pale Jiji kwahiyo naweza kujenga bila Kibari, lakini pia ntatumia Ramani ya Dada yangu alijenga Mwanza Mwaka juzi na BOQ Fundi wangu nimemtoa Dar anajua kila kitu.

DLC:Kaka utapoteza gharama zako bure maana Kibari na Kuset Msingi ni lazima kwenye Ujenzi wa Jiji la Dodoma ili kupata uhalisia wa Mipaka lakini pia kufanya vitu vya Uhakika.

MTEJA:Ndugu yangu wewe umepata ridhiki ya kuniuzia Kiwanja inatosha maana hii sio mara yangu ya kwanza Kujenga Nyumba hapa Dodoma.

MTEJA wetu mpendwa tukamwacha akajenga na Nyumba yake kwasasa ni k**a ifuatavyo

Dodoma Landlord CompanyTunachora Ramani za Majengo aina zote na Ramani za Majengo ya muda pamoja na Miradi ya Biashara k...
27/03/2025

Dodoma Landlord Company
Tunachora Ramani za Majengo aina zote na Ramani za Majengo ya muda pamoja na Miradi ya Biashara kwa bei nafuu sana, pia tunashughulikia na Vibari vya Ujenzi ndani ya siku 14 kwa Jiji la Dodoma.


Mawasiliano:-
Simu:+255 (0) 752464548
Mitandao ya kijamii:
Facebook,X,Ig na Thread
Email:[email protected]
Website:www.dodomalandlordcompany.com

Karibu Dodoma Landlord Company
23/03/2025

Karibu Dodoma Landlord Company

NUNUA MASHAMBA NA VIWANJA DODOMA Dodoma Landlord CompanyKaribu tukuuzie Mashamba, Viwanja na Nyumba DodomaTukupimie Ardh...
23/03/2025

NUNUA MASHAMBA NA VIWANJA DODOMA Dodoma Landlord Company
Karibu tukuuzie Mashamba, Viwanja na Nyumba Dodoma
Tukupimie Ardhi yako kwa bei nzuri.
Kukutafutia Vibari vya Ujenzi na Ramani ya Nyumba ya ndoto zako kwa bei nzuri.
Ushauri namna ya kufanya Kilimo cha Kisasa na Matumizi ya Ardhi BURE.

Mawasiliano:-
Simu:+255 (0) 752464548
Mitandao ya kijamii:
Facebook,X,Ig na Thread
Email:[email protected]
Website:www.dodomalandlordcompany.com

Address

Dodoma City
Dodoma Outlying

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodoma Landlord Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dodoma Landlord Company:

Shortcuts

Share

Category