UBS Real Estates Tanzania

UBS Real Estates Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from UBS Real Estates Tanzania, Property management company, Dodoma.

Works in managing real estate investments including Owning, designing, developing, surveying, managing and selling real estate properties (Land and Housing Estates) and providing consultations on real estate in Tanzania and Building and Civil Contractors

31/08/2021

Chamwino Kumenoga. Mkurugenzi anawatangazia wananchi wote kuwa................. AUuzaji wa Viwanja, Viwanja karibu na Barabara kuu ya Dodoma- Dar. usichelewe

Chamwino Kumekucha: Viwanja  Halmashauri Ya Chamwino Kwa bei Nafuu. Kuanzia 1,800,000/= na kuendelea kulingana na ukubwa...
25/08/2021

Chamwino Kumekucha: Viwanja Halmashauri Ya Chamwino Kwa bei Nafuu. Kuanzia 1,800,000/= na kuendelea kulingana na ukubwa pia matumizi.

Ni wapi hapo,!!! Chinangali II, Karibu sana na Makao Makuu ya JKT, Ni Kilimita 4 kutoa Hospitali ya Uhuru au Njia Panda Chamwino Ikulu na Nyuma ya ofisi za Halmashauri.

Viwana vinafikika kwa miundombinu ya barabara na umeme umefika

Karibu sana

UBS Real Estates inaendalea kukuletea viwanja vilivyo pimwa kwa Bei nzuri kabisa Block F yote utapata kwa Bei ya @3000 k...
10/07/2021

UBS Real Estates inaendalea kukuletea viwanja vilivyo pimwa kwa Bei nzuri kabisa Block F yote utapata kwa Bei ya @3000 kwa mita mraba, Bei hii ni pamoja na Hati. Viwanja vingine vipo Block A, D na E. Karibu sana.

Unaweza kutupigia au kutuma Ujumbe mfupi kwa 0756877770

UBS inaendelea kukuletea viwanja vilivyo pimwa kwa Bei nzuri kabisa Block F yote utapata kwa @3000 mita mraba Bei hii ni...
09/07/2021

UBS inaendelea kukuletea viwanja vilivyo pimwa kwa Bei nzuri kabisa Block F yote utapata kwa @3000 mita mraba Bei hii ni pamoja na Hati. Viwanja vingine vipo Block A. D na E. Karibu sana.

08/07/2021

Habari wadau

08/07/2021

Tunaendelea kuwahudumia. Tumewasikia ushauri wenu na mahitaji ya viwanja 20 kwa 20 . Karibuni

04/07/2021

UBS real estates inakukumbusha kuwa kununua kiwanja kilicho pimwa kwa kuzingatia Mipango miji ni kuepukana na Migogoro ya ardhi isiyokuwa ya lazima.

Karibu sana Tukuhudumie!.. Pamoja Tujenge.

Address

Dodoma
441

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UBS Real Estates Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share