Khaju broker

Khaju broker Karibu katika kurasa hii ya UDALALI ni page inayo jihusisha na udalali kama vile
~kuuza na kununua V2

20/05/2026
20/05/2026

KIWANJA KINAUZWA – MLIMWA C

📍 Nyuma ya fensi ya Waziri Mkuu
✅ Corner plot
✅ Fence pande mbili
✅ Sqm 700
✅ Kina hati

💰 Milioni 85 tu

Eneo la Mlimwa C linaendelea kukua sana kwa sasa, hasa maeneo ya karibu na makazi ya viongozi na taasisi za serikali. Ni eneo ambalo watu wengi wanapendelea kwa sababu ya utulivu, usalama na mazingira mazuri ya makazi.

Hiki kiwanja kinafaa sana kwa:
• Kujenga nyumba ya kisasa
• Apartment
• Guest house
• Uwekezaji wa muda mrefu

Faida nyingine ni kwamba ni corner plot, hivyo hata kwenye ujenzi inatoa muonekano mzuri na matumizi mazuri ya eneo.

Kwa anayefuatilia maeneo yenye future nzuri Dodoma, Mlimwa C ni moja ya maeneo yanayoendelea kupanda thamani kila siku.

Karibu sana.

20/05/2026

🏢 APPARTMENT ZINAUZWA 🏢

📍 MAHALI: Mahungu Block “D” Ushuani

✅ MUUNDO WA KWANZA
• Master Sebule + Jiko
• Zipo nyumba 2
• Kila nyumba ina mpangaji tayari
• Kodi: 200,000/= kwa mwezi kila nyumba

✅ MUUNDO WA PILI
• Master + Jiko
• Zipo nyumba 2 pia
• Zina wapangaji tayari
• Kodi: 100,000/= kwa mwezi kila nyumba

✅ HUDUMA

• Electric Fence
• CCTV Camera zimefungwa
(Pevimet zipo)

📐 UKUBWA WA KIWANJA: SQM 470

📄 DOCUMENT: Hati safi ya Wizara ✅

💰 BEI: Milioni 150

Visit certfy 50,000/=

Karibu kwa mawasiliano na ukaguzi wa eneo.

20/05/2026

MRADI WA VIWANJA VINAUZWA VIKO 12
(Kiwanja kuanzia 215 hadi 226)
🪢🪢Wekeza kwenye Viwanja utanishukuru baadae🪢🪢

Mahali:Dodoma Nala Chihoni

Bei:Kwa Kila Kimoja 3.8m
Ukubwa:SQM 874
Document:HATI (kwa viwanja 8)
Viwanja 4 DOC —SURVEYOR FORM

✅Viwanja Vizuri Sana Vinafaa Kwa Ujenzi Wa Makazi
✅Unaweza Jenga Lodge Au Hotel
✅Maji Na Umeme Vipo Jirani Sana
✅Umbali Kutoka NALA Ring Road Meter 800
✅Miundo Mbinu Ya Barabara Iko Vizuri Sana

🎱Gharama Za Kwenda Kuoneshwa Ni Tsh.30,000/=

18/05/2026

🏡 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA 🏡

📍 Mahali: Michese Dodoma
🗂 Block: ZL
🔢 Plot No: 317
📐 Ukubwa: Area 1010 SQM
📄 Document: Hai ya Wizara✅

💰 Bei: Milioni M12

✨ Sifa za Eneo:
✔️ Mtaa umepangwa vizuri
✔️ Miundombinu ipo
✔️ Barabara nzuri
✔️ Umeme upo
✔️ Maji yanapatikana
✔️ Km 11 tu mpaka City Center

ZINGATIA UKUBWA WA ENEO

📞 Mawasiliano:

18/05/2026

🏡 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA 🏡

📍 Mahali 👉 Michese ZF, Dodoma
📐 Ukubwa 👉 SQM 650

✨ Sifa za Kiwanja
✅ Document 👉 Hati
✅ Kina Fensi Pande Mbili
✅ Mtaa Umepangwa Vizuri
✅ Barabara Zipo Vizuri
✅ Jirani na Lami
✅ Umeme na Maji Vipo Site
✅ Km Tano (5) Tu Kutoka City Center

💰 Bei 👉 Milioni 37

05/05/2026

Nyumba ilijengwa kwa kutumika k**a Nyumba yakuishi,Lodge,Au yakupangisha.

Nyumba iko Veyula,mita 700 kutoka barabara ya Lami,

Nyumba inavyumba Self 4
Ina Restaurant Moja ambayo iko juu k**a Ghorofa.Ina swimming pool 2.

Ukubwa wa Eneo ni Sq 1207,Nyumba imemalizika kila kitu kasoro Alminium,Milango na Tyres,Umeme upo tayari
Hati ipo tayari.
👉ML 135
Site fee 50k

05/05/2026

‼️INAUZWA NZUGUNI A ‼️
MIL 195 INA ROOM TATU
TUNAKUKABIDHII IKIWA IMEKAMILIKA🙏
KARIBU🙏

Address

Wajenzi/mkwajuni
Dodoma

Telephone

+255713132555

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Khaju broker posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Khaju broker:

Share

Category