Uriyo Real Estate

Uriyo Real Estate Tunauza Viwanja *MTUMBA *NZUGUNI *KITELELA. Viwanja vyote vimepimwa na vinatambulika na Halmashauri ya Jiji Dodoma.

Wasiliana nasi kwa 0713 238822/0754 299751/0655 781155 au fika ofisi zetu Nzuguni Bodaboda

14/02/2024
Hallelujah, Kristu amefufuka kweli kweli Hallelujah!!.Tunawatakua Heri ya Sikukuu ya Pasaka ♥️.                         ...
17/04/2022

Hallelujah, Kristu amefufuka kweli kweli Hallelujah!!.
Tunawatakua Heri ya Sikukuu ya Pasaka ♥️.

Heri ya Karume DayJenga nasi, Karibu tukupatie Viwanja Mtumba, Nzuguni & Kitelela!!! Viwanja vyote vimepimwa!! Karibu up...
07/04/2022

Heri ya Karume Day

Jenga nasi, Karibu tukupatie Viwanja Mtumba, Nzuguni & Kitelela!!! Viwanja vyote vimepimwa!!
Karibu upate vifaa vyote vya ujenzi!!!
Fika Ofisi zetu Nzuguni Boda mkabala na Stendi kuu ya Dodoma Jiji.

Uriyo Real Estate, Expect Better!

Viwanja Vinauzwa Dodoma Jiji Eneo la Kitelela.Jenga nasi... Viwanja Vipo!!! Vifaa vya ujenzi tunavyoo!!! Fika Ofisi zetu...
04/04/2022

Viwanja Vinauzwa Dodoma Jiji Eneo la Kitelela.
Jenga nasi... Viwanja Vipo!!! Vifaa vya ujenzi tunavyoo!!!
Fika Ofisi zetu Nzuguni Boda mkabala na Stendi kuu ya Dodoma.
Uriyo Real Estate, Expect Better!!

.

Mwenyezi Mungu akapokee mifungo na Dua zetu. Ramadhani Karim! 🌛                           #2022
03/04/2022

Mwenyezi Mungu akapokee mifungo na Dua zetu.
Ramadhani Karim! 🌛

#2022

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani.  #🙅🏿‍♀️  Uriyo Real Estate inaungana na kauli mbiu ya Sikukuu ya Wanawake Duniani ya "...
08/03/2022

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. #🙅🏿‍♀️

Uriyo Real Estate inaungana na kauli mbiu ya Sikukuu ya Wanawake Duniani ya "ACHA UPENDELEO" ; nasi hatubagui wala kupendelea njooni wote mpate Viwanja makao makuu ya Tanzania.

Pata Viwanja Vinauzwa Dodoma Jiji Eneo la Kitelela na Mtumba Tupo Ofisi za Manispaa ya Zamani karibu na Sido, Karibu
07/02/2022

Pata Viwanja Vinauzwa Dodoma Jiji Eneo la Kitelela na Mtumba

Tupo Ofisi za Manispaa ya Zamani karibu na Sido, Karibu

✨Heri ya Sikukuu ya Christmas🎅🏽. Uriyo Real Estate tunakutakia sikukuu njema ✨✨ 🎄🎄Msimu huu wa sikukuu za Christmas na m...
25/12/2021

✨Heri ya Sikukuu ya Christmas🎅🏽.
Uriyo Real Estate tunakutakia sikukuu njema ✨✨

🎄🎄Msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya Jipatie Viwanja kwa bei ya offer wasiliana nasi kwa offer yako sasa ✨



✨🎄✨

Karibu tukuuzie kiwanja kinacho tazama Uwanja wa ndege wa Msalato. Fika ofisi zetu Uriyo Real Estate zilizo Nzuguni Boda...
10/12/2021

Karibu tukuuzie kiwanja kinacho tazama Uwanja wa ndege wa Msalato.
Fika ofisi zetu Uriyo Real Estate zilizo Nzuguni Boda au fika Manispaa ya Zamani uone ramani na kuchagua kiwanja sasa.

Address

Nzuguni Boda
Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 09:30 - 13:00
Sunday 09:30 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uriyo Real Estate posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Uriyo Real Estate:

Share

Category