SHOMA Resids Company

SHOMA Resids Company the service island
✅0769-338-917

Tunatoa Huduma za:.
1. Uvukizaji (Fumigation)
2. Usafi wa Nyumba mpya na zilizotumika, Hostels, Hotel , usafi taasisi
3.

usafi wa carpet, kitchen cabinets, oven

10/06/2026

Magufuli city view alongside Mtumba- veyula ring Road 🔥🔥

10/06/2026

Wakati unanunua sofa, zingatia Rangi na aina ya kitambaa.

✅ziendane na Mazingira yako ya Nyumbani.
k**a unawatoto wadogo Rangi nyeupe na njano achana nazo.

07/06/2026

Unahitaji Kusafishiwa Nyumba ukiwa Dodoma Maeneo gani?

piga sim.
✅0769-338-917

07/06/2026

✅ Unahitaji usafi ukiwa Dodoma Maeneo gani
Tupigie siku.
✅0769-338-917

29/05/2026

Fufua muonekano wa pavement zako kabla hazijapoteza Rangi yake.

✅0769-338-917

23/05/2026

✅0769-338-917

Usafi wa kina angalau mara Moja Kila baada ya miezi 3
Itakusaidia kufanya Nyumba yako isichoke haraka.

Tiles, vioo, na masink yanataka usafi wa kina Ili kubaki kwenye hali yake ya kawaida.

23/05/2026

✅0769-338-917

Wadau wa usafi Dodoma Leo tujifunze kitu pamoja.

Kuna faida gani kufanya usafi wa kina kabla ya kuhamisha vitu kwenye Nyumba.
badala ya kuhamisha vitu na kisha kufanya usafi. badala yake fanya kabla ya kuhamisha vitu.

✅ Inarahisisha zoezi la Usafi wa Kila Kona ya Nyumba. itachukua Muda mrefu sana kufanya usafi ikiwa vitu tayari vimewekwa ndani bila mpangilio.

✅ Inakupa uhuru wa kupangilia furnitures na vitu vya ndani bila hofu kuwa kitu kitawekwa na kuondolewa Tena kupisha usafi.

jitahidi kufanya usafi kabla ya kuhamia kwenye Nyumba unayotaka kuhamushia vitu.

Karibu tukuhudumie Dodoma

14/05/2026

✅0769-338-917

Ukiona post hii hifadhi number utatuhitaji Kwa ajili ya Usafi pindi tu.

✅ Unapohamia Nyumba mpya
✅ Unapohitaji usafi wa kina wa Nyumba unayoishi.
✅Unapomaliza Ukarabati wa Nyumba yako
✅ Unapoona madirisha yako ya aluminum yanaanza kugoma kufunga na kufunguka.

Utapata Huduma yetu ukiwa popote ndani ya Jiji la Dodoma

12/05/2026

✅0769-338-917

K**a unafanya Ukarabati Yafuatayo yanaweza kukusaidia kupunguza Gharama kabla ya kuhamia.

✅ Hakikisha mafundi wanatumia nylon au mabox kutandika kwenye tiles wakati wa kupaka Rangi.

Hii itakurahisishia kupunguza Gharama wakati wa kufanya Usafi

✅ Maliza kabisa shughuli zote zinazohusisha kuchimba ukuta
mfano, kuweka makabati ya jikoni, kuweka holder za mapazia n.k kuepuka Vumbi la kuchimba ukuta baada ya zoezi la Usafi.

✅Tupigie kwa Huduma ya usafi Dodoma tukufanyie kazi nzuri.

04/05/2026

✅0769-338-917

piga simu kufanya appointment Kwa ajili ya usafi Dodoma 🙌

Address

Northern Kikuyu
Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255769338917

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SHOMA Resids Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category