30/10/2022
Tumekuletea apartment bora na za kisasa kwa Bei nafuu kabisa,
SIFA:
•Nyumba yenye vyumba vinne vyenye huduma ya choo ndani.
•Kuna kiyoyozi (Full AC)
•Mabafu yenye maji ya moto.
•Huduma ya DSTV na Azam TV
•Nyumba Iko na sebure kubwaa (yenye screen kubwa kwa kuangalia match,movies, taarifa ya habari na vipindi vingine)
• Parking kubwa ya magari.
•Umeme na maji ni uhakika masaa 24.
•Nyumba Ina ulinzi imara ( ipo na uzio wa umeme)
•Jiko la kisasa lenye vifaa vyote (Friji kubwa, oven, heater, jiko la umeme na gas la kisasa, sufuria, sahani na vijiko kwa ajiri ya mteja kujipikia)
•Dining room nzuri na iliyopangiliwa kisasa (kumbi ya kulia chakula)
•Iko eneo lisilokuwa na makelele pia hewa ni Safi na upepo wa tulivu kabisa.
Nyumba ipo mtaa wa Ilazo Karibu na Toronto apartment, Dodoma. KARIBUNI SANA TUNAPOKEA