Menaeh Group LTD

Menaeh Group LTD Kwa huduma na bidhaa zenye ubora na viwango pia ni Darasa la Uchumi na Maendeleo kila siku ya Jumanne

MENAE GROUP LTD inawatakia  wote heri ya mwaka mpya 2024.Ukawe Mwaka wa Kicheko kwako.
01/01/2024

MENAE GROUP LTD inawatakia wote heri ya mwaka mpya 2024.Ukawe Mwaka wa Kicheko kwako.

28/12/2023
Menae Group LTD kupitia Menae Bookshop and Resources Centre inakuletea kitabu kizuri cha kizalendo kiitwacho NYERERE WA ...
12/12/2023

Menae Group LTD kupitia Menae Bookshop and Resources Centre inakuletea kitabu kizuri cha kizalendo kiitwacho NYERERE WA PILI NA MWELEKEO WA TAIFA LETU.

Kwa kusoma kitabu hiki utajifunza mengi ya kizalendo na utajua ili taifa liwe na HATIMA njema ni yapi yapasayo kufuatwa na Wananchi na Viongozi wao.

Kitabu hiki kinapatikana kwa hardcopy tsh.elf 15 (mikoani tunatuma)na softcopy kwa tsh.elf 7 kupitia link hii chini

https://www.getvalue.co/prod/nyerere_wa_pili_na_mwelekeo_wa_taifa_letu

Karibu sana.

Menae group LTD kupitia Menae Bookshop and Resources Centre inakuleta kitabu kiitwacho..HAZINA YAKO NA KIZAZI CHAKO. Swa...
12/12/2023

Menae group LTD kupitia Menae Bookshop and Resources Centre inakuleta kitabu kiitwacho..HAZINA YAKO NA KIZAZI CHAKO.

Swali muhimu la kujiuliza:-
1.Ninaiandaaje kesho yangu na ya kizazi changu?
2.Ni KIZAZI gani KITAINUKA baada yangu?

Kupata majibu ya maswali haya hakikisha unajipatia kitabu hiki. Kwa hardcopy tsh.elf 15 tu unafikishiwa popote ulipo. Na softcopy kwa tsh.elf 7 tu kupitia link ifuatayo;

https://www.getvalue.co/prod/hazina_yako_na_kizazi_chako

Karibu sana.

Menae Group LTD kupitia Menae Bookshop and Resources Centre inakuletea kitabu kiitwacho KUMWEKEA MUNGU AKIBA.Huu ndio uw...
12/12/2023

Menae Group LTD kupitia Menae Bookshop and Resources Centre inakuletea kitabu kiitwacho KUMWEKEA MUNGU AKIBA.

Huu ndio uwekezaji wenye faida kupitia wote.
Jifunze hatua za kuekeza ktk ufalme wa Mungu..kufanya biashara na mbingu kunalipa.

Karibu sana kwa hardcopy 15elf.soft copy 7
Kupitia link ifuatayo.

https://www.getvalue.co/prod/kumwekea_mungu_akiba

Menae Group LTD kupitia Menae Bookshop and Resources Centre inakuletea kitabu cha mwandishi Mwl.Mazumila,E.K kiitwacho;M...
12/12/2023

Menae Group LTD kupitia Menae Bookshop and Resources Centre inakuletea kitabu cha mwandishi Mwl.Mazumila,E.K kiitwacho;MBINU 7 ZA KUSHINDA UTUMWA WA MADENI ..Kwa tsh.elf 15 tu.

karibu ujifunze kupitia maisha yangu..nina amini itakusaidia k**a wewe hauna changamoto hii basi yupo ndg.rafiki.jamaa unamfaham na anapitia kipindi hiki..nunua kwa ajili yake..lakn pia maarifa haya ukiyasoma yatakuwa akiba kwako ktk vipindi mbalimbali vya maisha. Plato alisema:"only dead have seen the end of war"

Mimi na wewe bado tunaishi mambo ni mengi njiani. Tuyapokee maarifa yanayopatikana katika kitabu hiki. Yatatufaa sana.

Karibu sana.

HAZINA YAKO NA KIZAZI CHAKO."Unaweza ukafanikiwa kuwaachia watoto wako mashamba,magari,viwanja na hata pesa lakini ukash...
14/08/2023

HAZINA YAKO NA KIZAZI CHAKO.
"Unaweza ukafanikiwa kuwaachia watoto wako mashamba,magari,viwanja na hata pesa lakini ukashindwa kuwaachia "Wewe",Wakatumia kila ulichoacha,Wak**aliza na kuendelea kuwa si chochote. Hapo umefeli. K**a unajivunia ulivyo,k**a una ujasiri mbele za Mungu kuwa wewe ni Mume,Mke,Baba au Mama bora basi tamani zaidi kuwaachia ulichonacho ndani yako. Tamani kuwaachia "WEWE".Chris Mauki,Ph.D.

JIPATIE NAKALA YA KITABU HIKI KWA TSH.ELF 10,000/= KITAKACHOKUWEZESHA KUIGUNDUA HAZINA YAKO NA KWA KIZAZI CHAKO.KUPITIA KITABU HIKI KITAKUSAIDIA NAMNA NZURI NA SAHIHI YA KUIANDAA KESHO YAKO NA YA WATOTO WAKO.

KWA MAWASILIANO 0766620624/0658620624

Address

Dodoma

Telephone

+255739383818

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Menaeh Group LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Menaeh Group LTD:

Share