Jipe Moyo

Directions Website

Jipe Moyo Lengo ni Kukutia Moyo ili Ujue Ushindi Upo na Hayo Maisha Yatapita Tu

24/12/2025

Maana Bwana Yesu Amesikia Sauti ya Kilio Chako.

Hajiri Mamaye na Ishimaili yaani Aliyekuwa Mfanyakazi wa Ndani wa Ibrahimu...Kuna majira alipotia wakati mgumu..

Alipolazimika kuondoka mikono i mwa Mwajiri wake...Alifika Mahali pq Jangwa, na Maji Yakawa Yameisha....Alikata Tamaa na Kuiona Mauti Kwake na Kwa Mwana Wake...

Ndipo Malaika wa Mungu alipotokea na kumwambia ASIOGOPE kwa maana Mungu Amesikia Kilio Chake (mtoto)...

Nami k**a Mqlaika wa Bwana Ninakutia Moyo Majira haya ya Kwamba Usiogope kwa maana Bwana Amesikia Kilio cha Sala Zako...Hizi Ndizo Habari Nilizopewa na Bwana Nikupe...Sema; Ameni.

*Tazama* : Mwanzo 21:15 Yale maji yakaisha katika kiriba, akamlaza kijana chini ya kijiti kimoja.

16 Akaenda akakaa akimkabili, mbali naye kadiri ya mtupo wa mshale; maana alisema, Nisimwone kijana akifa; naye akakaa akimkabili, akapaza sauti yake, akalia.

17 Mungu akasikia sauti ya kijana. Malaika wa Mungu akamwita Hajiri kutoka mbinguni, akamwambia, Una nini, Hajiri? Usiogope, maana Mungu amesikia sauti ya kijana huko aliko.

Kwa Jumbe Zaidi za Faraja na Matumaini Tafadhali Tembelea na uFollow Channel Yetu

( *Bonyeza Linki* )

Follow the Jipe Moyo πŸ«€β€οΈ Utashinda πŸ’ͺπŸ’ͺ🀝 channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vb7ZJLR9hXFGDfQuxT2D

  Maana Bwana Yesu Amesikia Sauti ya Kilio Chako.Hajiri Mamaye na Ishimaili yaani Aliyekuwa Mfanyakazi wa Ndani wa Ibrah...
24/12/2025

Maana Bwana Yesu Amesikia Sauti ya Kilio Chako.

Hajiri Mamaye na Ishimaili yaani Aliyekuwa Mfanyakazi wa Ndani wa Ibrahimu...Kuna majira alipotia wakati mgumu..

Alipolazimika kuondoka mikono i mwa Mwajiri wake...Alifika Mahali pq Jangwa, na Maji Yakawa Yameisha....Alikata Tamaa na Kuiona Mauti Kwake na Kwa Mwana Wake...

Ndipo Malaika wa Mungu alipotokea na kumwambia ASIOGOPE kwa maana Mungu Amesikia Kilio Chake (mtoto)...

Nami k**a Mqlaika wa Bwana Ninakutia Moyo Majira haya ya Kwamba Usiogope kwa maana Bwana Amesikia Kilio cha Sala Zako...Hizi Ndizo Habari Nilizopewa na Bwana Nikupe...Sema; Ameni.

*Tazama* : Mwanzo 21:15 Yale maji yakaisha katika kiriba, akamlaza kijana chini ya kijiti kimoja.

16 Akaenda akakaa akimkabili, mbali naye kadiri ya mtupo wa mshale; maana alisema, Nisimwone kijana akifa; naye akakaa akimkabili, akapaza sauti yake, akalia.

17 Mungu akasikia sauti ya kijana. Malaika wa Mungu akamwita Hajiri kutoka mbinguni, akamwambia, Una nini, Hajiri? Usiogope, maana Mungu amesikia sauti ya kijana huko aliko.

Kwa Jumbe Zaidi za Faraja na Matumaini Tafadhali Tembelea na uFollow Channel Yetu

( Bonyeza Linki )

Follow the Jipe Moyo πŸ«€β€οΈ Utashinda πŸ’ͺπŸ’ͺ🀝 channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vb7ZJLR9hXFGDfQuxT2D

Follow Jipe Moyo πŸ«€β€οΈ Utashinda πŸ’ͺπŸ’ͺ🀝's WhatsApp channel. Join 31 followers for the latest updates.

05/11/2024

Keep This: Kukosoana ni Afya...Kuvumiliana Ni Ukomavu

Wimbi Kubwa  Linalosukasuka Uongozi Kwa Sasa, Ni Viongozi Kulinda Kiti; Kuliko Kusudi la Wao Kuwepo Hapo. Hawajui Kiti n...
05/11/2024

Wimbi Kubwa Linalosukasuka Uongozi Kwa Sasa, Ni Viongozi Kulinda Kiti; Kuliko Kusudi la Wao Kuwepo Hapo.

Hawajui Kiti ni Kwa Ajili ya Kusudi, Na Kusudi ni Kwa Ajili ya Maono.

Nidhamu ya Uwoga, Inalinda Mkate; Ujasiri Unalinda Kusudi.

Maisha ya Wokovu: Kuna Wakati Hata K**a Huoni mbele; Muamini Aliyekutangulia, yaani Kristo. Kwa hiyo usitumie Nguvu Nyin...
02/11/2024

Maisha ya Wokovu: Kuna Wakati Hata K**a Huoni mbele; Muamini Aliyekutangulia, yaani Kristo. Kwa hiyo usitumie Nguvu Nyingi Sana Kutazama Mbele, Bali Tazama Alipokanyaga ili Na Wewe Ukanyage.

By Mwalimu Oscar Samba

   Mic Za Kuvaa KichwaniLaki Moja na 20 Ikiwa Moja; _Ikiwa ni Ofa ya Badala ya Laki na 80_ .Na Mbili ni Laki na Nusu.074...
27/10/2024

Mic Za Kuvaa Kichwani
Laki Moja na 20 Ikiwa Moja; _Ikiwa ni Ofa ya Badala ya Laki na 80_ .
Na Mbili ni Laki na Nusu.
0742942772, _Tuna Tuma Popote Nchini._ Afya ya Muhubiri, Boresha Huduma Yako*

  Mic Za Kuvaa Kichwani* Laki Moja na 20 Ikiwa Moja; _Ikiwa ni Ofa ya Badala ya Laki na 80_ .Na Mbili ni Laki na Nusu.07...
19/10/2024

Mic Za Kuvaa Kichwani*
Laki Moja na 20 Ikiwa Moja; _Ikiwa ni Ofa ya Badala ya Laki na 80_ .
Na Mbili ni Laki na Nusu.
0742942772, _Tuna Tuma Popote Nchini._

Linda Afya ya Muhubiri, Boresha Huduma Yako

Nimeyaandika haya kwenye kitabu cha Uamsho Ninachokiandika hivi Sasa...Wala usijaribu kufikiri kuomba au kumuomba Mungu ...
18/10/2024

Nimeyaandika haya kwenye kitabu cha Uamsho Ninachokiandika hivi Sasa...

Wala usijaribu kufikiri kuomba au kumuomba Mungu akuondole mambo magumu katika picha ya kuishi maisha tambarare k**a njia ya kukuwezesha kutenda vyema bila kukata tamaa. La muhimu ni wewe kujikita zaidi katika kumuomba Mungu akuwezeshe, kuwa na uwezo wa kustaimili mambo magumu na sio kukimbilia kutaka yaondoke yote au kabisa. Ni lazima kutambua ya kuwa kazi ya Mungu ni vita, na k**a ni vita lazima sisi tuwe askari wenye uwezo, mbinu stahiki; sanjari na vifaa hitajika. Na viatu vya utayari ni silaha muhimu sana.

Vita ya kiroho bila utayari wa vita, ni sawa na kujaribu kuandaa shindano la mbio ndefu, alafu wanariadha ni vipofu. Watakwama tu kutokana na sifa ya aina hii ya mashindano. Sio kwamba sio wanariadha, ila tatizo ni kupoteza uwezo wa kuona.

By Mwl Oscar Samba 0759859287

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jipe Moyo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category