Nakataa Kuwa Masikini

Nakataa Kuwa Masikini kwa masuala ya ujasiriamali tafadhali nicheki inbox

12/03/2026

Huu ndio mwaka wako wa mafanikio zaidi...
Mwaka 2026 ni mwaka wa kutengeneza pesa nyingi kwelikweli. Sikiliza unataka kupata pesa haraka kwa njia halali kabisa?
Basi leo nakuletea njia kuu tatu za kupata pesa haraka sana mimi nimetumia njia hizo sio haba zinalipa;
1. TATUA MATATIZO YA WATU
Angalia hapo anapoishi au kushinda kijiweni, WATU wanamatatizo gani? TATUA hayo matatizo hakika wakulipa pesa kwa mfano mtaani kwenu kuna shida kubwa ya maji, usiwe miongoni mwao walalamikaji bali tumia hiyo fursa kupata pesa kwa kuuza maji, au mboga au kitu chochote halali ambacho jamii yako imekikosa.

Address

Dodoma

Telephone

+255738809383

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nakataa Kuwa Masikini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nakataa Kuwa Masikini:

Shortcuts

Share

Category