Dodoma 24

Directions

Dodoma 24 Show the development of cities in Tanzania WE SAVE U YOU SAVE US

Je wajua?            Hapo cyo ktkt ya jiji wala cyo mji wa kiserikali.......Hapo watani watasema serikali imewatenga.......
12/09/2026

Je wajua?
Hapo cyo ktkt ya jiji wala cyo mji wa kiserikali.......

Hapo watani watasema serikali imewatenga.... Wanasau huo ni mji mkuu wao unawekwa sawaa.....

Jiji linazidi kujengwaa.....


Je wajua.....?           wa Dodoma ulianza kukua kihistoria kutokana na biashara, makazi ya jamii za wenyeji, na baadaye...
10/09/2026

Je wajua.....?
wa Dodoma ulianza kukua kihistoria kutokana na biashara, makazi ya jamii za wenyeji, na baadaye utawala wa kikoloni.

ya ukoloni: Eneo la Dodoma lilikaliwa na jamii mbalimbali, hasa Wagogo, ambao walijihusisha na kilimo, ufugaji na biashara.

ya 19: Dodoma ilikuwa eneo muhimu la mapito ya misafara ya biashara iliyosafiri kati ya maeneo ya pwani na bara.

wa Wajerumani: Mwishoni mwa karne ya 19, Wajerumani waliendeleza kituo cha utawala na biashara Dodoma, hasa baada ya kujenga reli ya Central Railway iliyofika Dodoma mwaka 1910. Hii ilichochea sana ukuaji wa mji.

ya uhuru: Dodoma iliendelea kuwa kituo muhimu cha kiutawala nchini Tanzania.
Mwaka 1973: Serikali ya Tanzania ilitangaza rasmi mpango wa kuhamisha mji mkuu kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma, kwa lengo la kuuweka mji mkuu katikati zaidi ya nchi na kuchochea maendeleo ya maeneo ya bara.

: Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania na kitovu muhimu cha serikali, siasa, elimu na biashara.

,.. Hapo kuñà píçhà yà 1936 vß 2024


09/09/2026
Je wajua       Dodoma ya kesho kuna watu wakiona hv wanajificha hasa watani wetu..... Picha imepgwa usiku mwaka 2035.......
09/09/2026

Je wajua
Dodoma ya kesho kuna watu wakiona hv wanajificha hasa watani wetu.....

Picha imepgwa usiku mwaka 2035.....xx unabisha utakuwepo

Je wajua..,...?           ni miongoni mwa majiji machàche afrika yanayojengwa kimpangilio na yanayokuwa kasi hàsa ktk se...
07/09/2026

Je wajua..,...?
ni miongoni mwa majiji machàche afrika yanayojengwa kimpangilio na yanayokuwa kasi hàsa ktk sektà yà ujenzi wa miundombinu ya bàrabara na makazi.........kwa tanzania ikishika nmb #2 na kufuàtiwà nà jiji là .......

Nà hii ni list y majiji tanzania kwa sasa yenye mtandao mzr na mrefu barabara za lami....

es Salaam





City (Mjini Magharibi)



.       JÍJI LINÀJENGWA KILÀ MÀHÀRI WATÀNI ZANGU MWANZÀ MUWE MNÀELEWÀ........Mji pékée unàozingàtia ujenzi wakisasa yani...
29/08/2026

.

JÍJI LINÀJENGWA KILÀ MÀHÀRI WATÀNI ZANGU MWANZÀ MUWE MNÀELEWÀ........

Mji pékée unàozingàtia ujenzi wakisasa yani hapo bilà kibàli hutoboi kirahisi

BILÀ KUSÀHAU MIPANGO MIJI.......

Mji mkuu unàopàgwa kímkàkati....


.Dodoma linazidi kuwa Jiji LA kisasa.......-Zamani tuliambiwa Dodoma mwisho kujengwa ghorofa 4-5 Kwa sababu mbalimbali.....
27/08/2026

.
Dodoma linazidi kuwa Jiji LA kisasa.......

-Zamani tuliambiwa Dodoma mwisho kujengwa ghorofa 4-5 Kwa sababu mbalimbali..... kwasasa tunaona mpk majengo yenye urefu ghorofa 10-15 ukiendelea so tutarajie miaka ijayo kwnda zaidi y hapo ni swala muda.........

-Ujenzi umepelekea kulipa Jiji muonekano mzuri Kila kukicha......

Watalaam wa maendeleo wanasema Kwa Kasi ya ujenzi uliyopo unalifnya kuelekea kuwa Jiji la pili Kwa ukubwa Tanzania hivyo kuingia kwenye ushindani na majiji mengine ukanda wa afika mashariki na kati......


.Hotel za kisasa zinazidi kujengwa jijini.......    Mwanza wakiona hv wanatetemeka...... Hapo tunasema ni swala muda tuu...
27/08/2026

.
Hotel za kisasa zinazidi kujengwa jijini.......




Mwanza wakiona hv wanatetemeka...... Hapo tunasema ni swala muda tuu...... Na hapo Jiji halina bahari au ziwa hotel zinapendezaa.....

.Ulinzi wa Jiji la dodoma wazidi kuimalishwa kwanzia kitaifa na kimataifa
27/08/2026

.

Ulinzi wa Jiji la dodoma wazidi kuimalishwa kwanzia kitaifa na kimataifa


.Miongoni mwa miji inayokuwa Kwa Kasi.......Ukanda wa kusini mwa Tanzania......-Wataalamu wa utafiti wa maendeleo wanase...
27/08/2026

.
Miongoni mwa miji inayokuwa Kwa Kasi.......Ukanda wa kusini mwa Tanzania......

-Wataalamu wa utafiti wa maendeleo wanasema huu ndo mji unaovutia Kwasasa kusini mwa tanzania.



-Majengo ya kisasa
-Miundombinu Bora
-Mipango miji
-Elimu
-Uwekezaji

na tujipangee.....Iringa inakuja Kwa Kasi tusipoangalia mbeya itakuwa nyuma miaka ijayo......


Address

Area D
Dodoma
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodoma 24 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share