04/06/2020
Open kitchen
Ukiwa sebleni unaona msosi ule unapikwa, unapata muda wa kuongea na wife pia ingawa mpo location tofauti, wife hapitwi na habari pia kwakuwa TV anaiona moja kwa moja toka Jikoni. Watoto wanapata sehemu kubwa ya kucheza
Kwa ramani nzuri follow @ Goba