dalalitzee

dalalitzee Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from dalalitzee, Real Estate, Kariakoo.

KIWANJA SQM.1,200 KINAUZWA NA BANK, TSHS.9.5 MILIONI, VIGWAZA/CHALINZE. Hapa ni umbali wa Mita 700 kutoka Barabara ya La...
08/05/2025

KIWANJA SQM.1,200 KINAUZWA NA BANK, TSHS.9.5 MILIONI, VIGWAZA/CHALINZE.

Hapa ni umbali wa Mita 700 kutoka Barabara ya Lami/SHULE YA MSINGI VIGWAZA.

Panachangamka kujengeka.

UMILIKI NI MKATABA WA MAUZIANO.

_____________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

_____________jj

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

NYUMBA INAUZWA BEI RAFIKI, TSHS.30 MILIONI, KIVULE FREMU KUMI/kwaNYAHIRI.Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.Umiliki ni MKAT...
06/05/2025

NYUMBA INAUZWA BEI RAFIKI, TSHS.30 MILIONI, KIVULE FREMU KUMI/kwaNYAHIRI.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Hii nyumba ibaweza kuhitaji maboresho kiasi.
Mf. Sakafu ni ya Kwaida, Rangi nk.

Vyumba 3 ( Masta1) Pia kuna Sebule,
Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani

Ipo ndani ya Fensi.

_________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

_________mskv

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

NYUMBA MPYA, VYUMBA VITATU (3) TSHS.40 MILIONI TU, MBAGALA CHAMAZI/KWADUMBA.Ni umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara ya ...
06/05/2025

NYUMBA MPYA, VYUMBA VITATU (3) TSHS.40 MILIONI TU, MBAGALA CHAMAZI/KWADUMBA.

Ni umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara ya Lami.

Ujenzi wa kisasa.

INAUZWA KWA DHARULA.

Vyumba 3 ( Masta 1) pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

Huduma za Umeme na Maji zipo pamoja na Parking ndani ya Geti.

___________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

___________

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.350 MILIONI, KINONDONIKiwanja kina ukubwa wa SQM. 420.Umiliki ni HATI (Title Deed) y...
05/05/2025

NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.350 MILIONI, KINONDONI

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 420.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

Ina vyumba 3 vya ķulala (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.

Nyumba ipo ndani ya Fensi na Parking ni kubwa na ya kutosha.

__________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

__________mgy

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

COASTER, DALADAĹA NZURI YA BIASHARA, TSHS.22 MILIONI, DAR.Ina Hali nzuri na inafanya Kazi. Piga: +255714591548
05/05/2025

COASTER, DALADAĹA NZURI YA BIASHARA, TSHS.22 MILIONI, DAR.

Ina Hali nzuri na inafanya Kazi.

Piga: +255714591548

NYUMBA YA VYUMBA VITATU(3) TSHS.800,000/MWEZI, SINZA.Kwenye Kiwanja kuna nyumba kubwa na Apartments 2 lakini haziingilia...
04/05/2025

NYUMBA YA VYUMBA VITATU(3) TSHS.800,000/MWEZI, SINZA.

Kwenye Kiwanja kuna nyumba kubwa na Apartments 2 lakini haziingiliani.

Huu ni upande unaoingia pekeyako.
Isipokuwa Parking tu ni ya witp.
Una Geti lako pekeyako.

Vyumba 3( Masta1 ) Sebule,Jiko,Dining-room na Choo cha Familia ndani.

Umeme na Maji unajitegemea.

Eneo ni jirani na Barabara ya Lami.

__________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Ķuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

__________mmD

NYUMBA/KIWANJA SQM.500, TSHS.350 MILIONI KIJITONYAMA SAYANSI.Nyumba ni ya kizamani.Ina vyumba vinne(4) Sebule,Jiko,Dinin...
04/05/2025

NYUMBA/KIWANJA SQM.500, TSHS.350 MILIONI KIJITONYAMA SAYANSI.

Nyumba ni ya kizamani.
Ina vyumba vinne(4) Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.

_____________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

_____________emN

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

MADUKA MATANO, TSHS.270 MILIONI, MAGOMENI MAPIPA.Hii nyumba inaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa. Mtaa uliojengeka KIBIAS...
04/05/2025

MADUKA MATANO, TSHS.270 MILIONI, MAGOMENI MAPIPA.

Hii nyumba inaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa.
Mtaa uliojengeka KIBIASHARA.

Hapa kuna Fremu za Biashara/Maduka jumla 5.
Pìa kuna Nyumba ya vyumba vya kulala 2 nyuma.

Maduka yote yana WAPANGAJI kwa sasa.
Ukinunua utaamùa uishi nao au Usitishe Mikataba.

Kodi kila Duka ni Tshs.250,000/Mwezi.

____________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

____________llk

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

APARTMENT ZA VYUMBA 2 (MASTA1) TSHS.500,000/MWEZI, SALASALA MWANZO.Hizi nyumba mpya,Gombania Goli,Atakaewahi analipia an...
03/05/2025

APARTMENT ZA VYUMBA 2 (MASTA1) TSHS.500,000/MWEZI, SALASALA MWANZO.

Hizi nyumba mpya,
Gombania Goli,
Atakaewahi analipia anachukua nyumba.

UNAANZA KUISHI WEWE HAPA,
-NA BARAKA TELE.--------------------- WAHI.

Ni nyumba mpya za kisasa.
Kila moja ina vyumba 2 vya kulala.
Ambapo chumba kimoja ni Masta na pia kuna
Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani.
Maji na Umeme unajitegemea.

Parking inawekwa Paving punde na kutakuwepo na Garden.

Mazingira ni Sqlama na tulivu.

Sasa wewe chelewa badae ujilaumu.

ZIPO ITA TU NA HAZIKAI HIZI AMINI MIMI.

____________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548.

____________dsl

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

KUPANGA UTAKE WEWE SASA, NYUMBA YA TSHS. 15 MILIONI, MBAGALA KUU. Hiì ni nyumba yaenye jumla vyumba vitatu (3) chumba ki...
02/05/2025

KUPANGA UTAKE WEWE SASA, NYUMBA YA TSHS. 15 MILIONI, MBAGALA KUU.

Hiì ni nyumba yaenye jumla vyumba vitatu (3) chumba kimoja ni Masta, Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.

Ipo umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya KIJICHI.

Maboresho yanayohitajika ni madogo.
Na watu wanaishi.

___________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

___________mpg

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

ENEO LA BIASHARA, INAUZA BANK,TSHS.45 MILIONI, YOMBO VITUKA.Hili eneo linaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa.Panafaa kuwek...
02/05/2025

ENEO LA BIASHARA, INAUZA BANK,TSHS.45 MILIONI, YOMBO VITUKA.

Hili eneo linaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa.

Panafaa kuweka Jengo la kisasa la
Maduka ya BIASHARA (MAFREMU) au
Pamoja na Makazi.

Nyumba iliyopo ni YA KIZAMANI na ina.
●Vyumba 9 vya kulala na
●Frem za Duka 5.

Ukubwa ni Kiwanja SQM.400.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.

MUWEKEZAJI HAPA PANAFAA WAHI.

___________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

____________jj

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

KIWANJA CHA KWENYE KONA, 750 SQM. TSHS.65 MILIONI,MBEZI MSAKUZI.Hapa ni jirani na Serikali ya Mtaa,Almaarufu Kibao cha N...
02/05/2025

KIWANJA CHA KWENYE KONA, 750 SQM. TSHS.65 MILIONI,MBEZI MSAKUZI.

Hapa ni jirani na Serikali ya Mtaa,
Almaarufu Kibao cha Njano.

Wastani wa mita 100 tu kutoka Barabara kubwa.

Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

____________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

____________jj

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

Address

Kariakoo

Telephone

+255714591548

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when dalalitzee posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category