Mo tamba jr

Mo tamba jr Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mo tamba jr, Real Estate, Kariakoo.

Mashine yenye vinu vitatu..Inakoboa mpungaInakoboa mahindi na nafaka zingineInasaga nafaka aina zote...Inatumia umeme md...
24/03/2024

Mashine yenye vinu vitatu..

Inakoboa mpunga
Inakoboa mahindi na nafaka zingine
Inasaga nafaka aina zote...

Inatumia umeme mdogo sana wa majumbani, ni single phase lkn pia unaweza kutumia engine ya mafuta ukafanya kaz sehem yeyote. Ni nzuri sana inasaga kilo 180 kwa lisaa

Price 1,950,000 tuu free delivery popote ulipo Tanzania 🇹🇿
Tupigie simu kwa 0659 228 222 au 0687 921 919. Tunapatikana kariakoo Dar es Salaam

KARIBUNI tuyajenge hatutoshindwana
24/03/2024

KARIBUNI tuyajenge hatutoshindwana

Jamani nimeshusha bei karibuni munufaike kwa punguzo hili kubwa,chagua unachokitaka nitext wasap au kunipigia 0659228222...
23/01/2024

Jamani nimeshusha bei karibuni munufaike kwa punguzo hili kubwa,chagua unachokitaka nitext wasap au kunipigia 0659228222 karibu ujipatie hii OFA wewe mteja wangu

OFFER YA XMAS HIRO POWER PETROL ENGINE AVAILABLE TAMBA STORE ✅SIZE 7.5HP✅PRICE 360,000/=TSH
25/12/2023

OFFER YA XMAS HIRO POWER PETROL ENGINE AVAILABLE TAMBA STORE

✅SIZE 7.5HP

✅PRICE 360,000/=TSH

OFAAA GENERATOR  DIESEL ENGINE WARRANTY 1YR KV8 KWA 2,900,000 TUU CALL/WHATSAPP 0659 228 222
25/12/2023

OFAAA GENERATOR DIESEL ENGINE WARRANTY 1YR KV8 KWA 2,900,000 TUU CALL/WHATSAPP 0659 228 222

MASHINE YAKUSAGA NA KUKOBOA 2 IN 1.⁣Faida za Mashine hii⁣●Inakazi mbili Inasaga na kukoboa kwa wakati mmoja.⁣●Inarahisis...
22/12/2023

MASHINE YAKUSAGA NA KUKOBOA 2 IN 1.⁣

Faida za Mashine hii⁣
●Inakazi mbili Inasaga na kukoboa kwa wakati mmoja.⁣
●Inarahisisha kazi na kupunguza gharama za umeme.⁣
●Inasaga na kukoboa vitu vingi k**a mahindi,mchele,ulezi nk⁣
●Inauwezi wakusaga na kukoboa Kilo 300/saa.⁣
●Nzuri sana kwa kazi na inatumia umeme mdogo wa majumbani 220v.⁣
●Ni portable na rahisi kuhamishika na inauzito wa kilo 75 tu.⁣
●Inatumia motor moja yenye 3000wats.⁣


✅ BEI YAKE NI 2,455,000/=⁣

OFA OFA OFA OFA.....GENERATOR KV3.5KWA 600,000 TUUUGENERATOR YA DIESEL KV 6 KWA 2,400,000 TUUGENERATOR YA DIESEL KV 8 KW...
18/12/2023

OFA OFA OFA OFA.....
GENERATOR KV3.5KWA 600,000 TUUU
GENERATOR YA DIESEL KV 6 KWA 2,400,000 TUU
GENERATOR YA DIESEL KV 8 KWA 2,700,000 TUU
GENERATOR DIESEL KV10 KWA 4,200,000 TUUU
MASHINE YA KUOSHEA MAGARI (CAR WASH) PSI 2800 SH 600,000 TUU
COMPRESOR LITA 25 NA LITA 50 KWA 280,000/300,000 TUUU
KARIBUNI SANA MUWAHI HII OFA MSIMU HUU WA SIKUKUU PIA TUNAFANYA FREE DELIVERY KWA WATEJA WA DAR NA WA MKOANI TUNAKULETEA BURE MPAKA CARGO NDIPO UNALIPA PESA. TUNAPATIKANA KARIAKOO TUPIGIE KWA NO 0659228222/0687921919

Karibuni wateja wetu, hizi ni baadhi tu ya bidhaa tulizonazo ila mzigo wa kutosha upo kwa wale wa jumla na reja reja pia...
13/12/2023

Karibuni wateja wetu, hizi ni baadhi tu ya bidhaa tulizonazo ila mzigo wa kutosha upo kwa wale wa jumla na reja reja pia karibuni sana bei zetu ni nafuu mnoo na bidhaa zetu bora pia. Tnapatikana kariakoo dar es salaam Tanzania 🇹🇿

13/12/2023
Karibuni mjipatie chain saw kuanzia lak7,lak9 na milion1 hii ni offer wateja wetu uwez pata popote wahi ziko chache
08/12/2023

Karibuni mjipatie chain saw kuanzia lak7,lak9 na milion1 hii ni offer wateja wetu uwez pata popote wahi ziko chache

Generator kv 8 diesel engine open kwa 2,400,000 tuu tunafanya free delivery popote ulipo kwa wa mkoani tunakuletea mpk c...
08/12/2023

Generator kv 8 diesel engine open kwa 2,400,000 tuu tunafanya free delivery popote ulipo kwa wa mkoani tunakuletea mpk cargo au booking ya bus unalolitaka ndipo unalipa pesa Tunapatikana Kariakoo mtaa wa lindi na nyamwezi tupigiebkwa 0659 228 222/0687 921 919 Karibuni Sanaaaa Mzigo upo wakutosha jumla na Rejareja

Address

Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mo tamba jr posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category