16/11/2021
🌟🇦 🇷 🇩 🇭 🇮 🇲 🇦 🇱 🇮
🇻 🇮 🇼 🇦 🇳 🇯 🇦 🇰 🇮 🇬 🇦 🇲 🇧 🇴 🇳 🇮 🇧 🇺 🇾 🇺 🇳 🇮
🌟Viwanja Vimepimwa kwa mipango Miji. Vipo km 45 kutoka fery. Na km 1 mpaka site Umeme na Maji Yapo.
🌟Km 2 mpaka Buyuni Beach unajionea mandhari nzuri ya bahari na upepo mwanana, unangoja nini njoo uwekeze kwenye Ardhi sasa ivi kabla haijapanda thamani baadae 🤔
Usafiri wa moja kwa moja mpaka Buyuni ni wa uhakika Nauli 1500
🌟Sqm1 ni Tsh 6000 kwa cash Na
Sqm1 ni Tsh 8000 kwa mkopo wa miezi 18
Viwanja vilivyobaki ni hivyo kwenye Surveyed Map (Raman Ya Mradi)
🌟Ukimaliza Malipo Unakabidhiwa Hati Yako Ya Wizara lakini kwa wale mkopo kipindi cha malipo utapewa Mkataba Wa Kisheria kamq kidhibiti cha manunuzi
🌟Siku za Kutembelea mradi ni kila Jumamosi saa tatu asubuhi. Makutano stendi ya ferry
ni makumbusho