Land General Planning Co.Limited

Land General Planning Co.Limited Town Planning Services, Land Survey na Real Estates

Wananchi mnasisitizwa kutoa nunua ardhi kiholela bila kujihakiki vya kutosha juu ya uhalali wa Ardhi hiyo kuondoa hasara...
31/07/2026

Wananchi mnasisitizwa kutoa nunua ardhi kiholela bila kujihakiki vya kutosha juu ya uhalali wa Ardhi hiyo kuondoa hasara inayo weza kuepukika

Chalinze mjini kabisa, eneo la uwekezaji, wanao milki mabasi, malori, uwekezaji kwenye garage, viwanda vikubwa Kwa vidog...
30/07/2026

Chalinze mjini kabisa, eneo la uwekezaji, wanao milki mabasi, malori, uwekezaji kwenye garage, viwanda vikubwa Kwa vidogo k**a sembe, feniture, kusindika nyama etc.
Karibuni, unaweza lipa Kwa awamu miezi mitatu.

27/07/2026

Mradi katikati ya mtaa wa Temboni nyuma ya kibahaTumbi referral hospital
Special Project, sio Miradi Ile ya pembezoni hivyo Bei yake ni 23,000 Kwa SQM.
Oda tumeanza kupokea
Simu ziite 0753283004

26/07/2026

Tunawakaribisha watanzania wote katika Miradi yetu ya viwanja maeneo mbalimbali
Ya kibaha, kigamboni, Kisarawe, bagamoyo, Dodoma, Manyoni
Simu ziite 0753283004 Land General Planning Co.Limited Evangelista Joseph @

K**a ukishindwa kumilki hivi viwanja unavyo weza lipia Kwa miezi sita ndani ya Jiji la Dodoma, km 5 Toka Magufuli Govern...
24/07/2026

K**a ukishindwa kumilki hivi viwanja unavyo weza lipia Kwa miezi sita ndani ya Jiji la Dodoma, km 5 Toka Magufuli Government City.
Basi watoto watakuchapa😂
Simu Ziite jamani sio utani nataka nigawa viwanja Leo 0753283004/0658283004

23/07/2026

Celebrating my 12th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

Address

Kibaha

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 14:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Land General Planning Co.Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Land General Planning Co.Limited:

Shortcuts

Share

Category