land_doctor_real_estate_co.ltd

land_doctor_real_estate_co.ltd Tunauza viwanja,Nyumba ,na Mashamba,

Tunauza viwanja
Tunajenga na kuuza nyumba
Tunafanya transfer ya hati
Tunafuatilia hati mpya
upimaji wa ardh
Tunachora Ramani za nyumba
Tunafuatilia vibali vya ujenzi
Tunatoa ushauri wa bure juuu ya maswaala ya ardhi

15/12/2025

📏Kiwanja kilichopimwa kinauzwa kigamboni Dege mchikichini.

📏Kiwanja kina ukubwa wa sqm 457
📏Bei ya kiwanja tsh 12,000,000/ila be

📏Kiwanja kina hati (title deed)

📏Kiwanja kipo umbali wa km 1.5 ukitokea Barabara kubwa ya lami iendayo ferry kigamboni

📏Kiwanja kipo jirani kabisa na Barabara kubwa ya mtaa iendayo mbutu kichangani.

📏Uzuri wa kiwanja hiki,Umeme, maji ,vipo jirani,na pameshaanza kujengeka.

📏kwa maelezo zaidi nipigie
☎️0678 326842
📱0782 384240

Nb:
Kwako hakuna umbali tuamini ili tukutimizie ndoto yako

17/11/2025

Kiwanja chenye hati kinauzwa kigamboni Dege mchikichini.Kiwanja kina ukubwa wa sqm 457.Kiwanja kimepimwa na kina hati,Bei ya kiwanja tsh 12,500,000/TU ila Bei inazungumzika.kiwanja kipo Umbali wa kilomita1 TU ukitokea Barabara kubwa ya lami iendayo ferry kigamboni au kimbiji.Mita300kutoka kwenye Barabara kubwa ya mtaa,iendayo mbitu kichangani.
Kwa maelezo zaidi nipigie (whatsap,0678326842

11/11/2025

Kiwanja kinauzwa kigamboni Gezaulole,kiwanja kina ukubwa wa sqm 683,kiwanja kimepimwa na kina hati(title deed)Bei ya kiwanja tsh 20,000,000/fixed.kwa maelezo zaidi nipigie/whatsap
0678326842,0782384240

28/10/2025

Viwanja vinauzwa Vikindu vianzi malela,Bei ya kiwanja tsh 1,500,000/TU.Viwanja vizuri na vipo kwenye barabara kubwa ya mtaa iendayo shule ya sekondary malela (kisima)Ukubwa wa kiwanja ni mita15 Kwamita16.Utaratibu wa malipo unaweza lipia cash au Kwa installment (kidogokidogo)Unachotakiwa lipia tsh 800,000/itayobaki utaendelea kulipia kidogo kidogo ndani ya miezi 2.Uzuri wa viwanja hivi maji na Umeme vimeshafika site .Kuja kutembelea viwanja vyetu ni bule,kama utakuja na kufanya booking.Tupigie au fika katika ofisi yetu iliyopo kigamboni kibada jirani na sheli ya Total Energy.call/whatsap067832684/0782384240

📏Asanteni Kwa kutuamini na kutushika mikono.🙏🙏🙏🤝📏Kwa mahitaji ya Viwanja vilivyopima ,Nyumba ,Mashamba Call/Whatsap 0678...
27/10/2025

📏Asanteni Kwa kutuamini na kutushika mikono.🙏🙏🙏🤝

📏Kwa mahitaji ya Viwanja vilivyopima ,Nyumba ,Mashamba Call/Whatsap 0678 326842.

📏AU Fika katika ofisi yetu iliyopo kigamboni kibada jirani na kituo cha mafuta cha Total Energy.

📏Kwako hakuna umbali, tuamini ili tukutimizie ndoto Yako

Kiwanja kilichopimwa kinauzwa kigamboni Dege mchikichini,Ukubwa wa kiwanja mita15×mita20( sqm300).Bei ya kiwanja tsh 7,0...
08/09/2024

Kiwanja kilichopimwa kinauzwa kigamboni Dege mchikichini,Ukubwa wa kiwanja mita15×mita20( sqm300).Bei ya kiwanja tsh 7,000,000/tu Ila Bei inazungumzika

📍Kiwanja kizuri,kipo kilomita 1 ukitikea Barabara kubwa ya lami iendayo ferry kigamboni au kimbiji
📍Kiwanja kimeshapimwa ,ukinunua hati unapata kwa majina yako mojakwamoja
📍Kipo mita 100 kutoka barabara kubwa iendayo mbutu kichangani
📍kiwanja kipo sehemu nzuri,pameshajengeka yaani unajenga na kuhamia.
📍Huduma za kijamii zipo,mfano maji,umeme,Thule na nyumba za ibada.
📍Kiwanja kinafikika muda wote ,yaani Barbara yake imechongwa.

Kwa maelezo zaidi nipigie
📱0678326842
📱0782384240

NB:
Kwako hakuna umbalii,tuamini ili tukutimizie ndoto yako.

Kiwanja kinauzwa vikindu vianzi changanyikeni,kiwanja no 85 chenye ukubwa was sqm 423.Bei ya kiwanja tsh 1,500,000/tuuUz...
07/09/2024

Kiwanja kinauzwa vikindu vianzi changanyikeni,kiwanja no 85 chenye ukubwa was sqm 423.Bei ya kiwanja tsh 1,500,000/tuu

Uzuri wa kiwanja hiki kipo mita300 tu ukitokea barabara kubwa ya vianzi.kilomita 5 ukitokea Barbara kubwa ya vikindu,kwa pkpk tsh 2000/Balaji tsh 1000/.
Kiwanja kizuri Sana maana kipo tambarale na ardhi yake ya kichanga ambayo mchanga wa kujengea unapata hapohapo site.
Huduma za kijamii zipo yaani ,maji,umeme,shulena nyumba za ibada tayari vimeshafika site kiufupi unajenga na kuhamia.
Kwamaelezo zaidi nipigie/WhatsApp
💯
📱0678326842
📱0782384240
Nb:
"Kwako hakuna umbalii,tuamini ili tukutimizie ndoto yako"

Kiwanja kinauzwa mbagala mbande mipeko,Bei ya kiwanja tsh 2,500,000/tu,Bei inazungumzika.Kiwanja kizuri na  kimepimwa.ki...
06/09/2024

Kiwanja kinauzwa mbagala mbande mipeko,Bei ya kiwanja tsh 2,500,000/tu,Bei inazungumzika.
Kiwanja kizuri na kimepimwa.kina ukubwa wa mita za mraba( sqm 585).kiwanja kizuri na ni( corner plot)kiwanja kipo kilomita 4 tu ukitokea mbande mwisho,kwa pkpk nauli tsh 1500/.Uzuri wa kiwanja hiki kipo tambarale na ardh yake ya kichanga ,Huduma za kijamii zimeshafika site K**a maji,umeme,majirani wapo yaani unajenga na kuhamia.Shule ya msingi na sekondari zipo jirani na kiwanja hiki

kwa maelezo zaidi piga/WhatsApp
💯
📱0678326842
📱0782384240
Nb:
"Kwako hakuna umbalii tuamini ili tukutimizie ndoto yako."

Changamkia Ofa hii ya sabasaba, Bei ya kiwanja tsh 1300,000/tu unapata kiwanja,Anza na tsh 500,000/Nyingine utaendelea k...
01/07/2024

Changamkia Ofa hii ya sabasaba, Bei ya kiwanja tsh 1300,000/tu unapata kiwanja,Anza na tsh 500,000/Nyingine utaendelea kulipia kidogokidogo ndani ya miezi 3.Viwanja vipo vikindu changanyikeni

Uzuri wa viwanja hivi,maji,umeme vipo,ardhi yake ya mchanga na pameshachangamka yaani unajenga na kukaa.
Umbalii ni mita300 tu kutoka Barabara kubwa ya vianzi .
Ukubwa wa kiwanja sqm 300 na sqm400,Ushindwe wewe tu kujenga.

Kwa maelezo zaidi piga au fika katika ofisi zetu zilizopo mbagala mbande.

Call 0782 384240
Whatsap 0678 326842
NB:kwako hakuna umbalii, Tuamini ili tukutimizie ndoto Yako.

Nauza hyoo printer, tsh 280,000/tuu,Ina print,scan na copy,Call☎️0782384240Whatsap☎️0678326842
27/06/2024

Nauza hyoo printer, tsh 280,000/tuu,
Ina print,scan na copy,
Call
☎️0782384240
Whatsap
☎️0678326842

Vyote nauza Kwa kutupa nataka tsh 530,000/IPO hyo printer,Aina Epson 3110,Desktop monitor size inch24 aina Dell,na CPU ....
20/06/2024

Vyote nauza Kwa kutupa nataka tsh 530,000/IPO hyo printer,Aina Epson 3110,Desktop monitor size inch24 aina Dell,na CPU .Ukitaka kimoja kati ya hivyo nauza.

Call
☎️0782 384240
Whatsap
☎️0678 326842

Address

Kigamboni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+255678326842

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when land_doctor_real_estate_co.ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to land_doctor_real_estate_co.ltd:

Share

Category