21/07/2022
Naomba kushare nanyi mradi wetu wa kuuza viwanja bora kwa makazi uliopo eneo la block 19, Kibada wilaya Kigamboni. Viwanja hivi vina sifa zifuatazo:
1. Vipo katika eneo zuri sana kwa makazi (Good neighborhood)
2. Pana barabara kubwa na za mitaa.
3. Viwanja vimepimwa na vina hati.
4. Umbali wa km 10 toka daraja la Kigamboni na km 12 toka ferry.
5. Huduma zote za kijamii zinapatikana.
6. Viwanja vyote vimepimwa kuanzia 1000sqm kwakuzingatia mipango ya makazi bora.
- Bei ni Tsh 45,000 kwa square meter moja na inaruhusiwa kulipa taratibu ndani ya miezi mitatu(Gharama hii inajumlisha gharama za kodi,mwanasheria,dalali k**a yupo,kubadilisha umiliki kwenye hati n.k.)
- Kwa mawasiliano zaidi na kupelekwa kuviona tafadhali piga/tuma sms 0718945887 au 0620683141.