Dalali Dada - Lanta Estates

Dalali Dada - Lanta Estates Karibu sana

Kwa mahitaji ya viwanja ndani ya Dar es Salaam
Unaweza lipa Kwa cash au kwa mkopo hadi miezi 18 (mwaka na nusu)
Ofisi zetu zipo Block 41, house no 11 Ground floor Karibu na kituo cha mwendokasi Moroco barabara ya Kawawa.

09/03/2026

Monday be like..! Okay nipo tayari kuwajibu maswali yenu kuhusu viwanja na calculation tutafanya eeh🤗

----------------------
☎️+255 659 308250
Ardhi ni Mali. Nunua Wekeza



05/02/2026

Kadri unavyokimbiakimbia kununua ardhi ndivyo unavyojicheleweshea mavuno. Kuvuna sio lazima uuze lakini utakuwa na chenye thamani kuliko jana. Karibu tukuongoze😊

---------------------------
☎️+255 659 308250
Ardhi ni Mali. Nunua Wekeza



Paradise project map updated. Vimebaki vitatu tuu na February ndio hii. Okoa hadi 1,000,000 Umbali:Km 45 kutoka Ferry ha...
05/02/2026

Paradise project map updated. Vimebaki vitatu tuu na February ndio hii. Okoa hadi 1,000,000

Umbali:
Km 45 kutoka Ferry hadi Buyuni Center
Unaendelea mbele km 2.5
Mita 500 tu kutoka barabara kuu
Mita 800 kutoka baharini

Bei:
10,000 kwa sqm cash
13,000 kwa sqm (Awamu miezi 18)

✨ January & a February offer - Hadi 20%

Note: Viwanja havipo upande wa beach

Kadri unavyokimbiakimbia kununua ardhi ndivyo unavyojicheleweshea mavuno. Kuvuna sio lazima uuze lakini utakuwa na chenye thamani kuliko jana. Karibu tukuongoze😊

------------------------
☎️+255 659 308250
Ardhi ni Mali. Nunua Wekeza!




Introducing Amani Prime plotsOur New Project in Kigamboni Dege.All plots are residential Distance: 20 km from Ferry to D...
05/02/2026

Introducing Amani Prime plots
Our New Project in Kigamboni Dege.
All plots are residential

Distance:
20 km from Ferry to Dege
2km from the main road
800m from the Ocean

Price:
30,000 per sqm

Pay by cash within 1 month
No installment plan

Note: All plots are surveyed 📌

--------------------------
☎️+255 659 308250
Ardhi ni Mali. Nunua Wekeza




23/01/2026

NEW PROJECTS! NEW PROJECTS
DEGE KIGAMBONI

BEI
1. 27,000 Per Sqm
2. 30,000 per sqm
Malipo ni cash ndani ya mwezi 1 tu.
Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 402

--------------------------
☎️+255 659 308250
Ardhi ni Mali. Nunua Wekeza




23/01/2026

Tuwaambie au tuwaache?
Au ngoja tu tuwaambie

--------------------------
☎️+255 659308250
Ardhi ni Mali. Nunua Wekeza



23/01/2026

Kwenda site ni kila siku kuanzia jumatatu Hadi jumapili
Lini una nafasi twende?

----------------------------
☎️+255 659 308250
Ardhi ni Mali, Nunua Wekeza!



22/01/2026

20% Discount sio mchezo. Ukichelewa utamkuta mwana sio wako. Save hadi Milioni Moja kiutaniutani kumbe ni serious

----------------------------
☎️+255 659 308250
Ardhi ni Mali, Nunua Wekeza!



22/01/2026

Tunakagua kitambi kwanza na kucheki mtambo wa vibe k**a upo on kabla ya kufanya content😂

By the way, Kabla ya kukuuzia kiwanja mpendwa mteja tunaangalia usalama wa eneo kwenye kila angle kuanzia kwa wamiliki hadi mipango miji ilivyokaa.
In short tuko makini 😊
----------------------------
☎️+255 659 308250
Ardhi ni Mali, Nunua Wekeza!



Ardhi ni Mali. Nunua Wekeza Huu ndio moto wetu. Ukiutekeleza utafanikiwa----------------------------☎️+255 659 308250Ard...
22/01/2026

Ardhi ni Mali. Nunua Wekeza
Huu ndio moto wetu. Ukiutekeleza utafanikiwa

----------------------------
☎️+255 659 308250
Ardhi ni Mali, Nunua Wekeza!



Address

Kinondoni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dalali Dada - Lanta Estates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category