30/05/2020
🔥🔥TANGAZO🔥🔥
Tunauza Eneo lenye hekali 35, lililopo vikindu Mkuranga, Eneo limeandaliwa Kisasa kabisa na Limeendelezwa k**a ifuatavyo;
Limepandwa Ndimu heka 6,
mahindi heka 4, Pation1.5,
Bonde la mpunga heka 8,
Majani ya ng`ombe heka 2,
Papai heka 4,
Eneo la Wazi heka 10.
MALI ZINGINGINE ZILIZOPO
Nyumba kubwa3,
Nyumba ya wafanyakazi 1,
Nyumba yenye room 3,
Godauni kubwa na la kisasa,
Nyumba room 1 na choo. Tank kubwa Lita laki 1,
MFUMO WA MAJI
Tank za plastic =6 Lita 5000 uko kwenye minara yake,
🐟Mabwawa ya SAMAKI 10 yanasamaki 10,000. Kisima Chenye Urefu wa mita 100 (over flow) muda wote hakikauki,
Pamp ya kisima hz power 5,
WANYAMA WALIOPO
🐐mbuzi 10
🦆 Bata 40
🐄 Ng'ombe 2
🐕mbwa 7
🌴Shambani pia kumepandwa minazi 300= Kuna pamp 3, za kumwagilia.
Toka barabara ya Lami hadi Sehemu usika ni kilometer 14.
Bei million 450/=
Hati kila kitu kimezingatiwa, Shamba na mali zake zote vina uzwa.
Kwa picha zaidi inbox me
Follow us on Instagram as
. Like our official page
Email us
[email protected]
Call us 24/7
0742 931 446
0766 333 667
0758 444 466
0739 661 666