16/09/2022
Kitare poultry farm-kpm
Karibuni Sana Kwa huduma
1.Tunauza kuku chotara.
2.mayai ya kisasa Kwa jumla na rejareja.
3.Tunatotolesha mayai.
4.Tunauza vifaranga.vya kienyeji na chotara.
5.Tunatoa ushauri wa ufugaji Bora wa kuku,Tiba za asili na za kitaalamu.
6.utengenezaji wa chakula Bora Cha kuku wa aina zote.
7Tunauza na tunatoa mafunzo ya ujasiriamali ya namna ya kutengeneza sabuni aina zote na mafuta ya kupaka.
TUNAPATIKANA KARIBU NA HALMASHAURI MPYA MISUNGWI.KWA watsap au piga 0762379917.KARIBINI SANA.