MJrealEstate Agent

MJrealEstate Agent Tunauza viwanja, tunanunua ardhi, tunapima ardhi,tunakodisha vifaa vya upimaji,kufufua mipaka na tunachora ramani za majengo ya kisasa kwa bei nafuu kabisa.

Shamba linauzwa Mikese - Morogoro. 📍Lubungo- Mikese Liko umbali wa Mita 800 kutoka Barabara kuu ya Dar es Salaam (MORO -...
20/09/2024

Shamba linauzwa Mikese - Morogoro.

📍Lubungo- Mikese

Liko umbali wa Mita 800 kutoka Barabara kuu ya Dar es Salaam (MORO -DAR ROAD).

- Ukubwa ni Ekari 14.

-Ndani ya Shamba kuna Nyumba mbili kubwa

- Bei ni Tsh. 100,000,000/=

Mawasiliano: 0753 951 492 || 0717 602 666

Kiwanja kinauzwa kiko Lubungo- Mikese.📍Kiwanja kinatazamana na  Barabara kuu ya Dar es salaamBei ni Tsh. 20,000,000/=Maw...
18/09/2024

Kiwanja kinauzwa kiko Lubungo- Mikese.

📍Kiwanja kinatazamana na Barabara kuu ya Dar es salaam

Bei ni Tsh. 20,000,000/=

Mawasiliano: 0753 951 492 | 0717 602 666.

Apartment inapangishwa, Iko Forest jirani kabisa na Sunset Hotel -🏠 Vyumba vitatu vyote self🌊 Maji ⚡️ Umeme🌁 Geti- Fensi...
04/06/2024

Apartment inapangishwa, Iko Forest jirani kabisa na Sunset Hotel
-🏠 Vyumba vitatu vyote self
🌊 Maji
⚡️ Umeme
🌁 Geti
- Fensi
🅿️ Parking
🚽 Public toilet

Kodi kwa mwezi ni Tsh. 700,000/=

Mawasiliano: 0753 951 492 | 0717 602 666 | 0629 261 790.

Tumekabidhi hatimiliki kwa mteja wetu baada ya kukamilisha malipo ya viwanja vyake.Kwa uaminifu mkubwa na uadilifu  tuna...
27/03/2024

Tumekabidhi hatimiliki kwa mteja wetu baada ya kukamilisha malipo ya viwanja vyake.

Kwa uaminifu mkubwa na uadilifu tunakuuzia kiwanja kwa gharama nafuu sana na kisha tunasimamia zoezi zima la hatimiliki na pindi unapokamilisha malipo yako tunakukabidhi hatimiliki ya kiwannja chako.

Nunua kiwanja kwa bei za ofa, lipa kidogo kidogo kwa awamu upate hatimiliki ya kiwanja chako.

Karibuni sana wateja wetu tupo kwa ajili yenu kuhakikisha mnapata huduma bora za ardhi ndani na nje ya mkoa wa Morogoro.

Ofisi zetu ziko ofisi namba 203 ghorofa ya pili jengo la NHC Ilipo Equity Bank Morogoro

Mawasiliano: 0753 951 492 | 0717 602 666 | 0745 890 905



29/02/2024
KIWANJA KINAUZWA.kiwanja kiko Block A mvomero na kimepakana na ofisi za halmashauri ya wilaya ya mvomero na pia kiko jir...
25/02/2024

KIWANJA KINAUZWA.

kiwanja kiko Block A mvomero na kimepakana na ofisi za halmashauri ya wilaya ya mvomero na pia kiko jirani kabisa na hospital ya wilaya ya Mvomero.

Kiwanja kinaukubwa wa mita za mraba( sqm): 924

- Kiko umbali wa mita 50 kutoka ofisi za halmashauri ya morogoro
- Kiwanja kimepimwa na kina hatimiliki tayari.
- Umeme upo eneo la mradi
- Barabara ya kufika kwenye mradi ni Barabara ya lami na inapitika vizuri.

-Gharama ya kiwanja kwa mita ya mraba (sqm) ni Tsh. 3,000/=

Mawasiliano: 0753 951 492 | 0717 602 666 | 0745 890 905

Tumekusogezea Huduma zetu kiganjani mwako.Pakua App yetu play store ili uweze kuona miradi yetu ya viwanja ndani ya mkoa...
06/11/2023

Tumekusogezea Huduma zetu kiganjani mwako.

Pakua App yetu play store ili uweze kuona miradi yetu ya viwanja ndani ya mkoa wa Morogoro.

*MIRADI YA VIWANJA MOROGORO*1- KIEGEA B-7Km toka DSM ROAD -3km toka Star City -11km kutoka Dodoma road (Mkundi shell)*Be...
25/10/2023

*MIRADI YA VIWANJA MOROGORO*

1- KIEGEA B

-7Km toka DSM ROAD
-3km toka Star City
-11km kutoka Dodoma road (Mkundi shell)

*Bei*
-Tsh 3,500/= SQM
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:30. Ni sawa na
Tsh 2,100,000/= (2.1M)

*TARATIBU ZA MALIPO*💸

-Malipo ya awali ni 20%
-Miezi 8 inayofuata, 10% kila mwezi

2- KIPERA

-4.5Km toka DSM ROAD
-2km toka Star City

*Bei*
-Tsh 3,500/= SQM
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:30. Ni sawa na
Tsh 2,100,000/= (2.1M)

*TARATIBU ZA MALIPO*💸

-Malipo ya awali ni 20%
-Miezi 8!inayofuata, 10% kila mwezi.

3- WAMI SOKOINE

-5Km toka DODOMA ROAD
-25km kutoka Morogoro Mjini

*Bei*
-Tsh 3,000/= SQM
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:30. Ni sawa na
Tsh 1,800,000/= (1.8M)

*TARATIBU ZA MALIPO*💸

-Malipo ya awali ni 20%
-Miezi 8 inayofuata, 10% kila mwezi

4. SANGASANGA

-6Km toka IRINGA ROAD (Njia panda ya Mzumbe)

*Bei*
-Tsh 3,000/= SQM
-kwa kiwanja cha kawaida cha mita 20:30. Ni sawa na
Tsh 1,800,000/= (1.8M)

*TARATIBU ZA MALIPO*💸

-Malipo ya awali ni 20%
-Miezi 8 inayofuata, 10% kila mwezi

*Unalipia kidogokidogo ndani ya miezi 8 unakuwa umekamilisha malipo yako na utakua upo kwako.

Mawasiliano:
0753951492 | 0717 602 666 | 0745 890 905 |0744 758 615

Asanteni sana wateja wetu🤝
06/10/2023

Asanteni sana wateja wetu🤝



*MRADI WA VIWANJA MKUNDI*Mradi huu wa viwanja uko Mkundi mtaa wa nguvu kazi.-Mradi upo umbali wa kilomita 2 (2KM) kutoka...
30/09/2023

*MRADI WA VIWANJA MKUNDI*

Mradi huu wa viwanja uko Mkundi mtaa wa nguvu kazi.

-Mradi upo umbali wa kilomita 2 (2KM) kutoka Dodoma road.

- Mradi upo eneo rafiki kwa makazi na unafikika kiurahisi.

-Gharama kwa mita moja ya mraba(sqm) ni Tsh. 8000/=

Pia Tunafanya upimaji wa mashamba na Viwanja Mkoa wowote ndani ya Tanzania.

Wasiliana nasi:0753 951 492 | 0717 602 666 | 0745 890 905

🔥

Address

NHC Building, Second Floor, Opposite To Daladala Stand
Morogoro

Opening Hours

Monday 07:30 - 18:00
Tuesday 07:30 - 18:00
Wednesday 07:30 - 18:00
Thursday 07:30 - 18:00
Friday 07:30 - 17:00
Sunday 07:30 - 18:00

Telephone

+255745890905

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MJrealEstate Agent posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share