13/11/2016
*بسم الله الرحمن الرحيم.*
🌴🌻 *```MHADHARA!! MHADHARA!! MHADHARA!!```* 🌻🌴
```Uongozi Wa Jumuiya Ya Wanafunzi Wa Kiislaamu Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (yaani-MSAUD); Unayo furaha isiyo na kifani, kukualikeni na kukukaribisheni katika MHADHARA, unaotarajiwa kufanyika maeneo ya hapahapa(Chuo Kikuu Mlimani) InshaAllah.```
❓❓❓❓❗❗
🌾 *```Ufafanuzi kwa Ufupi.```* 🌾
📚 *```Maada ya Mhadhara ni:- MAVAZI KWA UJUMLA WAKE```* 📚
🎙🎙 *```Mhadhiri/ Mtoa Maada sii mwingine bali atakuwa ni Sheikhy Abuu-Mussa"Abuubakar bin Kiizaa"Kutoka Tabora Tanzania(Allah Amuhifadhi)```* 🔊🔊
🕠 *```Muda Wa Muhadhara utakuwa ni Mara baada ya Swala ya Maghrib InshaAllah```* 🕠
🗓 *Siku yenyewe ni Kesho Siku ya JUMATATU InshaAllah. Mwezi14Safar1438H sawa na Tarehe14/11/2016* 🗓
🕌 *```Mahali ni maeneo ya Chuo Kikuu Mlimani; katika Msikiti wa Chuo Hicho(Maarufu k**a MSAUD).```* 🕌
*```Mwisho```*
```Nikuacheni na Maneno haya Mazuuri ya Imamu Maaliki(Allah Amrehemu)```
*إ"ن هدا العلم هو لحمك ودمك، وعنه تسأل يوم القيامة، فانظر عمن تأحذه" الكفايه.*
" _Hakika hii Elimu ya Dini ni Nyama yako na Damu yako, na kwahyo(elimu) utaulizwa siku ya Qiyaamah, basi tazama/angalia ni kwa nani unaichukua_ " ALKIFAAYA..
*```Ahsanteni Sana, na Karibuni Sana.```*
*والحمد لله رب العلمين.*
🌴🌻🌴🌻🌴🌻🌴