Dalali Wa Mkoa Wa Mwanza

Dalali Wa Mkoa Wa Mwanza We deals with:
πŸ‘‰ Property Sales
πŸ‘‰ Rent & Management

Call Or WhatsApp: +255 782 553 441

25/01/2026

*"UKIMWI"*

UKIMWI (Upungufu Wa Kinga Mwilini) ni ugonjwa unaosababishwa na VVU (Virusi Vya UKIMWI). UKIMWI hudhoofisha mfumo wa kinga za mwili na kumfanya mtu aweze kuambukizwa au kupata magonjwa mbalimbali. Uwezo wa mwili wa kujikinga na maradhi hupungua zaidi kadri ugonjwa wa UKIMWI unavyoongezeka ndani ya mwili wa mgonjwa.
Mtu mwenye virusi vya UKIMWI tunasema ameathirika. Virusi vya UKIMWI hushambulia seli za T (T-cells) katika mfumo wa kinga za mwili.
Mara nyingi mtu mwenye virusi vya UKIMWI atapata ugonjwa huu wa UKIMWI lakini si kila mtu aliye na virusi vya UKIMWI ana ugonjwa huu.
UKIMWI ni ugonjwa na mtu anakuwa na UKIMWI pale ambapo virusi vya UKIMWI alivyonavyo ndani ya mwili vimefikia hali ya kudhoofisha kinga zake za mwili CD4 na mwili kushindwa kuzuia maradhi mengine yanayo mnyemelea.
Mtu aliye na virusi vya UKIMWI baadaye huupata ugonjwa huu na asipotumia dawa, hufariki dunia.
Utafiti unaonyesha kuwa ugonjwa ulianza miaka ya mwishoni mwa karne ya 19 na ya mwanzoni mwa karne ya 20 na utafiti huo unaonyesha kuwa ugonjwa huu ulianzia Afrika Ya kati na Afrika Magharibi. Mgonjwa wa kwanza alibainika kuwa na ugonjwa huu mwaka 1980.

*UKIMWI UNAAMBUKIZWA VIPI?*

VVU (Virusi Vya UKIMWI) hupatikana ndani ya majimaji yaliyomo mwilini mwa mgonjwa, ikiwa ni ndani ya shahawa za mwanamme,maji maji ya ukeni, damu na maziwa ya mama.
1.kufanya ngono isiyo salama.
2.kufanya ngono kinyume na maumbile.
3.Kuchangia vitu vyenye ncha kali.mfano nyembe,sindano.
4. Mama kumwambukiza mtoto hasa wakati wa kujifungua au kunyonyesha.
5. Kugusa au kushika damu ya mtu mwenye uambukizo wa virus hasa wewe ukiwa na vidonda au michubuko.

*DALILI ZA UKIMWI*.
Watu wengi wenye virusi vya UKIMWI hawaoni dalili zo zote kwa miaka kadhaa.
Wengine hupata mafua kati ya wiki mbili hadi sita baada ya kupata maambukizi ambayo hudumu kwa kipindi cha wiki nne mpaka miez mitatu.

*DALILI ZA AWALI(HATUA YA KWANZA)*
Dalili za awali za UKIMWI ni k**a zifuatazo:
Homa Kusikia baridi Maumivu ya joints Maumivu ya misuli Koo kavu Jasho (Hasa usiku) Uchovu wa mwili Udhaifu Kukonda

*HATUA YA PILI*

Baada ya dalili hizi za awali kutoweka, mara nyingi hakuna dalili zo zote zitakazooneka kwa kipindi kirefu. Wakati huu wadudu hawa wanazidi kuzaliana, kuongezeka na kuharibu mfumo wa kinga za mwili. Kipindi hiki cha ukimya kinaweza kwenda hadi miaka 10 wakati huu wote mtu akijisikia vizuri tu na kuonekana mwenye afya.

*HATUA ZA MWISHO*
Dalili za mwisho za UKIMWI zinaweza kuwa:
Kutoona vizuri Kuharisha mfululizo Kikohozi kikavu Homa kali inayokwenda kwa muda mrefu Kuvuja jasho usiku Uchovu wa mwili mfululizo Kupumua kwa shida Kukonda Vijidoa vyeupe kwende midomo na ulimi

Mtu anapofika kwenye hatua hii na kuanza kuonyesha dalili hizi, anaweza sasa kunyemelewa na gonjwa lolote linaloweza kumuua.
Magonjwa hayo nyemelezi ni k**a:
Esophagitis (matatizo kwenye ngozi laini ya kooni) Maambikizi kwenye mfumo wa neva (acute aseptic meningitis, subacute encephalitis na peripheral neuropathy. Pneumonia. Kansa k**a za Kaposi’s sarcoma, kansa ya shingo ya uzazi, kansa ya mapafu, re**al carcinomas, hepatocellular carcinomas, kansa za kichwa na shingo, na lymphomas. Toxoplasmosis (ugonjwa unaoshambulia ubongo). Tuberculosis (TB).

*VIPIMO VYA UKIMWI*
Ili kugundua k**a mtu ana virusi vya UKIMWI au laa, damu hutolewa na kupimwa kwa kutumia vipimo maalumu vya virusi vya IKIMWI.
K**a virusi hivi vikipatikana, majibu huitwa β€œPositive”. Damu ya mgonjwa huyo hupimwa zaidi ya mara moja kabla ya kumpa mgonjwa majibu ya positive.

Mgonjwa aliyegundulika kuwa positive hushauriwa kuchukua vipimo vingine ili kuona virusi hivi vimesambaa kwa kiwango gani na kujua ni lini mgonjwa aanze tiba.
Ni vizuri mtu kuchukua tahadhari ya kupima mara baada ya kuwepo kwenye mazingira hatarishi ya maambukizi ya VVU kwani ugonjwa huu ukigundulika mapema zaidi
uwezekano wa tiba kufanikiwa unakuwa mkubwa zaidi.
Inachukua kiasi cha wiki tatu hadi miezi mitatu baada ya maambukizi, virusi hivi kuweza kuonekana kwenye vipimo.

*TIBA YA UKIMWI.*
Ugonjwa wa UKIMWI hushambulia taratibu seli maalumu za kinga za mwili ziitwazo CD4 T-cell na virusi vya ugonjwa huu huvitumia viini vya seli hizo kuzaliana na mwisho kuziua seli hizo. Kwa vile mgonjwa huyu atakuwa hajaanza kuonyesha dalili za mwisho za UKIMWI katika kipindi hiki ( asymptomatic period), yafaa idadi ya seli zake za CD4-T kufuatiliwa kwa karibu ili kuzuia zisishuke na mgonjwa kupata UKIMWI.

Hadi sasa hakuna chanjo ya UKIMWI wala tiba ya kuponya kabisa ugonjwa huu lakini kuna tiba zinazotolewa kuboresha maisha ya mwathirika na kumuongezea miaka yake ya kuishi.

1. Vidonge Vya Dharura – Emergency HIV Pills: K**a mtu anaamini kuwa amekuwa katika mazingira ya kuambukizwa ukimwi katika saa 72 zilizopita, anaweza kupewa dawa ya kuzuia maambukizi na akasalimika. Dawa hii huitwa PEP ambayo tumeweza kujifunza siku chache zilizopita. Dawa hii inatakiwa kutumiwa mara tu baada ya kukutana na virusi vya UKIMWI.
Dawa hii hutumiwa kwa wiki nne.

2. Dawa za ARVs – Antiretroviral drugs: UKIMWI hupunguzwa nguvu kwa kutumia dawa zinazoitwa ARVs (antiretrovirals).Dawa hizi huzuia maambukizi na kupunguza kasi ya kuongezeka kwa virusi vilivyomo ndani ya mwili.
3. Pia kuna virutubisho ambavyo vinauwezo mkubwa wakujenga upya Seli zako za mwili huku vikipambana na magonjwa yote nyemelezi.
Bidhaa hizi zimethibitishwa na baraza la Sayansi Duniani.....lakini kwa Tanzania zimethibitishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa(TMDA) na TBS watu walio zitumia wanamaendeleo mazuri kiafya hadi sasa.

Kwa Muhitaji wa virutubisho lishe vya kuongeza CD4 asisite kuwasiliana nasi.

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA πŸ‘‰ Ina vyumba vitatu vya kulalaπŸ‘‰ Chumba kimoja ni master + heaterπŸ‘‰ Sebule kubwaπŸ‘‰ JikoπŸ‘‰ Public toiletπŸ‘‰ Ina...
03/06/2024

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA
πŸ‘‰ Ina vyumba vitatu vya kulala
πŸ‘‰ Chumba kimoja ni master + heater
πŸ‘‰ Sebule kubwa
πŸ‘‰ Jiko
πŸ‘‰ Public toilet
πŸ‘‰ Inajitegemea umeme na maji

Kwa Mwezi 500k
Malipo kuanzia Miezi sita

Call Or WhatsApp: 0782 553 441

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA πŸ‘‰ Chumba kimoja masterπŸ‘‰ SebuleπŸ‘‰ Jiko La KisasaπŸ‘‰ Inajitegemea umemeKwa Mwezi 200kMalipo kuanzia Miezi sit...
02/06/2024

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA
πŸ‘‰ Chumba kimoja master
πŸ‘‰ Sebule
πŸ‘‰ Jiko La Kisasa
πŸ‘‰ Inajitegemea umeme

Kwa Mwezi 200k
Malipo kuanzia Miezi sita

Call Or WhatsApp: 0782 553 441

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA πŸ‘‰ Ina Chumba kimoja masterπŸ‘‰ SebuleπŸ‘‰ JikoπŸ‘‰ Inajitegemea umeme na majiKwa Mwezi 200kMalipo kuanzia Miezi s...
01/06/2024

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA
πŸ‘‰ Ina Chumba kimoja master
πŸ‘‰ Sebule
πŸ‘‰ Jiko
πŸ‘‰ Inajitegemea umeme na maji

Kwa Mwezi 200k
Malipo kuanzia Miezi sita

Call Or WhatsApp: 0782 553 441

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA πŸ‘‰ Ni Chumba Self na Sebule Kwa Mwezi 80kMalipo kuanzia Miezi sita Call Or WhatsApp: 0782 553 441
01/06/2024

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA
πŸ‘‰ Ni Chumba Self na Sebule

Kwa Mwezi 80k
Malipo kuanzia Miezi sita

Call Or WhatsApp: 0782 553 441

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA πŸ‘‰ Ni Chumba self na SebuleπŸ‘‰ Ipo Ndani Ya Fensi Kwa Mwezi 100kMalipo kuanzia Miezi sita Call Or WhatsApp:...
31/05/2024

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA
πŸ‘‰ Ni Chumba self na Sebule
πŸ‘‰ Ipo Ndani Ya Fensi

Kwa Mwezi 100k
Malipo kuanzia Miezi sita

Call Or WhatsApp: 0782 553 441

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA πŸ’™πŸ‘‰ Ni Chumba self na SebuleπŸ‘‰ Ipo Ndani Ya Fensi Kwa Mwezi 110kMalipo kuanzia Miezi sitaCall Or WhatsApp:...
31/05/2024

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA πŸ’™
πŸ‘‰ Ni Chumba self na Sebule
πŸ‘‰ Ipo Ndani Ya Fensi

Kwa Mwezi 110k
Malipo kuanzia Miezi sita

Call Or WhatsApp: 0782 553 441

πŸ—£οΈ STAND ALONE INAPANGISHWAπŸ‘‰ Ina vyumba viwili vya kulala πŸ‘‰ vyumba vyote ni master πŸ‘‰ sebuleπŸ‘‰ Dining πŸ‘‰ Jiko la njeπŸ‘‰ SimTa...
30/05/2024

πŸ—£οΈ STAND ALONE INAPANGISHWA
πŸ‘‰ Ina vyumba viwili vya kulala
πŸ‘‰ vyumba vyote ni master
πŸ‘‰ sebule
πŸ‘‰ Dining
πŸ‘‰ Jiko la nje
πŸ‘‰ SimTank
πŸ‘‰ public toilet
πŸ‘‰ Inajitegemea Ndani ya Fensi

Kwa Mwaka mil 2.5
Malipo kuanzia Miezi sita

Call Or WhatsApp: 0782 553 441

πŸ—£οΈ NYUMBA MPYAA πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ‘‰ Ina Chumba Kimoja MasterπŸ‘‰ SebuleπŸ‘‰ JikoπŸ‘‰ Inajitegemea umeme Kwa Mwezi 250kMalipo kuanzia Miezi sita ...
30/05/2024

πŸ—£οΈ NYUMBA MPYAA πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
πŸ‘‰ Ina Chumba Kimoja Master
πŸ‘‰ Sebule
πŸ‘‰ Jiko
πŸ‘‰ Inajitegemea umeme

Kwa Mwezi 250k
Malipo kuanzia Miezi sita

Call Or WhatsApp: 0782 553 441

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA πŸ‘‰ Chumba kimoja master πŸ‘‰ SebuleπŸ‘‰ Jiko Kwa Mwaka mil 2Malipo kuanzia Miezi sita Call Or WhatsApp: 0782 55...
30/05/2024

πŸ—£οΈ INAPANGISHWA
πŸ‘‰ Chumba kimoja master
πŸ‘‰ Sebule
πŸ‘‰ Jiko

Kwa Mwaka mil 2
Malipo kuanzia Miezi sita

Call Or WhatsApp: 0782 553 441

πŸ—£οΈ KINAPANGISHWA πŸ‘‰ Ni Chumba self na JikoπŸ‘‰ Kipo Ndani Ya Fensi Kwa Mwezi 100kMalipo kuanzia Miezi sita Call Or WhatsApp:...
29/05/2024

πŸ—£οΈ KINAPANGISHWA
πŸ‘‰ Ni Chumba self na Jiko
πŸ‘‰ Kipo Ndani Ya Fensi

Kwa Mwezi 100k
Malipo kuanzia Miezi sita

Call Or WhatsApp: 0782 553 441

Address

Kijana Real Estate Investment
Mwanza
0782553441

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dalali Wa Mkoa Wa Mwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dalali Wa Mkoa Wa Mwanza:

Share