28/05/2026
Barabara Kuu ya Buzuruga, kabla ya kufika Nyakatoto.
✔ Ukubwa: Sqm 7,100
✔ Eneo lipo main road (Buzuruga Main Road)
✔ Linafaa kwa matumizi ya viwanda, maghala au uwekezaji mkubwa
✔ Linamilikiwa na kampuni
✔ Bei: TZS Bilioni 1.3 (bei imejumuisha kodi zote, bei haipunguzwi)
☎️ 0747 432961
For more information