El gibbor Land Consult Co. ltd

El gibbor Land Consult Co. ltd We Deals with Survey,Construction of buildings,Property Management,Valuation activities,Real Estate

Tukiendelea na Zoezi la Utambuzi wa Mipaka pamoja na Upandaji wa Vigingi (Beacons) Katika Mipaka ili kukamilisha Zoezi l...
17/10/2024

Tukiendelea na Zoezi la Utambuzi wa Mipaka pamoja na Upandaji wa Vigingi (Beacons) Katika Mipaka ili kukamilisha Zoezi la Upimaji Sehemu za Uwandani (Site)

Kazi ya Uwandani (Site) kutoka kwa wataalamu wetu wa  katika kupanga na kupima huku tukishirikiana na Wananchi bega kwa ...
02/06/2024

Kazi ya Uwandani (Site) kutoka kwa wataalamu wetu wa katika kupanga na kupima huku tukishirikiana na Wananchi bega kwa bega


Team ya wataalamu wa Ardhi, Wapima Ardhi, Maafisa mipango miji, Maafisa Ardhi, na Wathamini kutoka  wakiwa katika shughu...
26/05/2024

Team ya wataalamu wa Ardhi, Wapima Ardhi, Maafisa mipango miji, Maafisa Ardhi, na Wathamini kutoka wakiwa katika shughuli za uwandani kwa kazi ya kupanga na Kupima Ardhi na utoaji elimu wa maswala ya Ardhi...

 tunashiriki kikamilifu katika utoaji wa Elimu kwa jamii kuhusu maswala ya Ardhi, Hasa katika Kupanga matumizi bora ya A...
26/05/2024

tunashiriki kikamilifu katika utoaji wa Elimu kwa jamii kuhusu maswala ya Ardhi, Hasa katika Kupanga matumizi bora ya Ardhi, Kupima na kutoa Elimu ya Umilikishwaji wa Ardhi ambayo hufanywa na Maafisa wa Serikali kupitia Ofisi za Halmashauri kitengo cha Ardhi Hadi Ofisi za Ardhi Mkoani Husika....

Sisi tunafanya kwa vitendo.......

Sisi  Tukiwa na wataalamu kwa kazi za Uwandani (Site) Tukifanya Ukaguzi Kabla ya Kupanga na Kupima Vipande vya Ardhi.......
15/05/2024

Sisi Tukiwa na wataalamu kwa kazi za Uwandani (Site) Tukifanya Ukaguzi Kabla ya Kupanga na Kupima Vipande vya Ardhi.....

Ili Ardhi iwe na Thamani lazima Ipangiwe matumizi Bora lakini pia Ipimwe na kupata Kibali (Approve).

Sisi k**a wataalamu wa shughuli za Upangaji na Upimaji Ardhi tukishirikiana na Sekta ya Ardhi Upande wa Serikali tupo kwa ajili ya kutoa Huduma kwa wananchi Karibuni sana.

KIWANJA NO.182 BLOCK A BULALE KIPO SOKONI, KINA HATI MILIKI TAYARI, MATUMIZI NI MAKAZI PEKEEKIWANJA KIPO NYUMA YA SHULE ...
19/03/2024

KIWANJA NO.182 BLOCK A BULALE KIPO SOKONI,
KINA HATI MILIKI TAYARI, MATUMIZI NI MAKAZI PEKEE
KIWANJA KIPO NYUMA YA SHULE YA WINNERS ENGLISH MEDIUM,
UKUBWA NI SQM 598 (34X17)
Eneo ni Tambalale, Umeme Upo, Mabomba ya Maji yapo Karibu....
Piga Simu 0684252045 Kufika Site

08/03/2024
Sikuua Jumamosi ni kwa ajili ya Site Visit..... Kwa ambaye Yuko Tayari Fika Ofisni kwetu BUZURUGA JENGO LA NM PLAZA AU T...
17/02/2024

Sikuua Jumamosi ni kwa ajili ya Site Visit..... Kwa ambaye Yuko Tayari Fika Ofisni kwetu BUZURUGA JENGO LA NM PLAZA AU TUPIGIE SIMU 0684252045/0676787773
☑️IGEKEMAJA-KISESA
☑️KAHAMA-BUSWELU
☑️ISANZU JIRANI HOSPITAL YA WILAYA YA KABUSUNGU
☑️KANGAYE

Kumbuka unaponunua kwetu kiwanja HATI MILIKI NI BUREEEEEEE!
El gibbor Land Consult Co. ltd

Karibuni El gibbor Land Consult Co. ltd  tunatoa Huduma zifuatazo.✓Kuuza Viwanja Vilivyopimwa + Ofa ya Hati Bure✓Kupanga...
02/02/2024

Karibuni El gibbor Land Consult Co. ltd tunatoa Huduma zifuatazo.
✓Kuuza Viwanja Vilivyopimwa + Ofa ya Hati Bure
✓Kupanga na Kupima Viwanja,Mashamba
✓Kuchora Ramani za Ujenzi na Kusimamia Ujenzi wa Nyumba
✓Kusimamia Upatikanaji wa Hati Miliki kwa Haraka kwa wale walio Busy kiasi cha kukosa muda wa kufanya kazi hiyo.
✓Kufufua Mipaka ya Viwanja vilivyopimwa
✓Tunakodisha Vifaa vya Upimaji (Differential GPS, Total Station)
✓Tunafanya Shughuli za Uthamini wa kubadili Miliki (Transfer),Mikopo (Mortgage Valuations),Kujua Thamani ya Soko (Valuation for Sales Purpose) n.k
✓Tunatoa Ushauri wa kitaalamu wa maswala ya Ardhi.

Miliki Ardhi kwetu kwa kulipia kidogo kidogo kwa mfumo wa malipo miezi sita(6) hadi miezi (12) yaani Mwaka Mzima.
Zaidi ya Miaka 10 katika kutoa huduma sekta ya Ardhi kwa wananchi.

Usipange kupitwaLipa kwa awamu miezi 6 hadi 12Pata Hati Miliki BureUshauri wa Ujenzi BureTupigie simu 0684252045 au What...
29/01/2024

Usipange kupitwa
Lipa kwa awamu miezi 6 hadi 12
Pata Hati Miliki Bure
Ushauri wa Ujenzi Bure

Tupigie simu 0684252045 au Whatsapp 0757787773

29/01/2024

Sisi El gibbor Land Consult Co. ltd Ndani ya jiji la Mwanza tunakuletea Mradi wa Viwanja Mtaa wa Igekemaja Kisesa. Viwanja Vimepimwa na Vina ukubwa wa 40mx 20m sawa na Sqm 800 kwa kila kiwanja......
Be yetu ni nafuu sana Kwa Kila Sqm 1 Tutakuuzia kwa Tshs. 8000/- tu.
Hii Ikiwa ni pamoja na Ofa (OFFER) Zifuatazo.
1.Utakwenda kutembelea viwanja Bure (Free Site Visiting)
2.Hati Miliki ni Buure.. Wewe nunua kiwanja Gharama za hati tuachie sisi.
3.Unaweza kulipa kwa awamu miezi 6 hadi 12 bila riba yoyote Ile.

Fika Ofisini kwetu Buzuruga Jengo la NM PLAZA liko mkabala na Jengo la BUZURUGA PLAZA, Chumba No. 29 Ghorofa ya Pili. Au piga simu 0684252045 Whatsapp 0757787773


.

Address

Buzuruga
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when El gibbor Land Consult Co. ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to El gibbor Land Consult Co. ltd:

Share

Category