Siha Live

Siha Live One Love Fun

Siha ni Dr Mollel Mh Godwin Mollel ✅✅✅
04/08/2025

Siha ni Dr Mollel Mh Godwin Mollel ✅✅✅

27/02/2022
09/08/2021

Good Morning

29/07/2021

K**a Simu yako ni OG k**a yangu Andika ³

04/06/2021

Be humble as long as tunaoishi nao ndo maadui zetu

14/03/2018

Mtoto alivyo mshtaki babake polisi kwa kuuza shamba

Ni Dr Godwin Mollel mbunge siha
17/02/2018

Ni Dr Godwin Mollel mbunge siha

UPDATESMatokeo Siha, mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel akiongoza kwa mbali katika baadhi ya vituoKituo cha Kirua–Kawate K...
17/02/2018

UPDATES
Matokeo Siha, mgombea wa CCM, Dk Godwin Mollel akiongoza kwa mbali katika baadhi ya vituo
Kituo cha Kirua–Kawate Kata ya Siha, Wilaya ya Siha mgombea wa CCM alipata kura 208, huku Alvis wa Chadema akipata kura 42 na Mwanri wa CUF akipata kura 10

Katika kituo cha Lawate namba 2 Kata ya Siha, CCM ilipata kura 300 na Chadema 21 huku CUF ikiambulia 0.

Kituo cha Lomakaa, CCM ilipata kura 190, Chadema 10 na CUF haikupata chochote.

Pia kituo cha Ofisi ya Kijiji Sanya Juu, CCM ilipata kura 284,Chadema 54 na CUF 1.

Kwa upande wa kituo cha Sanya Juu, CCM ilipata kura 93,Chadema 50, CUF 0, huku kituo cha Kaboko Kusini 2, CCM 403, Chadema 68 ,CUF na Sau zikiwa hazijapata kitu.

Pia Kituo kingine cha Kaboko B; CCM 106,CUF 76, Sau 0 na kituo cha Ofisi ya VEO Merali Juu1; Chadema 33, CCM 64 huku CUF na Sau vikiwa havijapata kitu. Ofisi ya VEO Merali Juu2: Chadema 22 na CCM 87.

Baadhi ya matokeo hayo ni k**a ifuatavyo. Kituo cha Pyarita kata ya Nasai Mgombea wa CCM alipata kura 194 huku Alvis wa Chadema akipata kura 44 na Mwanri akipata Cuf akipata kura 5.

Mgombea ubunge Jimbo la Siha (Kilimanjaro) kwa tiketi ya CUF, Tumsifueli Mwanry amepiga kura katika kituo cha Shule ya M...
17/02/2018

Mgombea ubunge Jimbo la Siha (Kilimanjaro) kwa tiketi ya CUF, Tumsifueli Mwanry amepiga kura katika kituo cha Shule ya Msingi Moniko

Address

Sanya Juu, Siha
Sanya Juu
P.O.BOX94SANYAJUU

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Siha Live posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share