Brotherhood Survey Services Co. Ltd

Brotherhood Survey Services Co. Ltd Real estate activities, Architectural designs, Building materials supplier, Research activities, Lan

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅKwa Wakazi wa Mkoa wa Katavi na maeneo ya Jirani, Brotherhood Survey Services Co. Ltd tumewafikia, wahi sasa Mradi uk...
09/01/2024

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Kwa Wakazi wa Mkoa wa Katavi na maeneo ya Jirani, Brotherhood Survey Services Co. Ltd tumewafikia, wahi sasa Mradi ukiwa bado wa moto yaani mpyaa.

Offer za kutosha na kwa ubora unaoaminika.

Kumbuka Ujanja ni Kiwanja

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ KATAVI Tumewashaaโ€ฆKwa Wakazi wa Mkoa wa Katavi na maeneo ya Jirani, Brotherhood Survey Services Co. Ltd tumewafikiaโ€ฆ...
09/12/2023

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ KATAVI Tumewashaaโ€ฆ

Kwa Wakazi wa Mkoa wa Katavi na maeneo ya Jirani, Brotherhood Survey Services Co. Ltd tumewafikiaโ€ฆ

Wahi Plot yako sasa Mradi ukiwa bado wa moto Kabisaa yaani Mpyaa.

Offer za kutosha na kwa ubora unaoaminika๐Ÿ‘Œ

Ofisi Mpya Branch ya Katavi Katika Manispaa ya Mpanda ikiambatana na Mradi Mpya uliopo Mpanda Mjini.๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Kumbuka;

OFFER OFFER OFFER Kwa kipindi hiki cha Sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya, Kampuni yako pendwa ya Brotherhood Survey Servi...
05/12/2023

OFFER OFFER OFFER

Kwa kipindi hiki cha Sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya, Kampuni yako pendwa ya Brotherhood Survey Services inakuletea Ofa Babโ€™Kubwa na Mizawadi kibaoโ€ฆ

Ukinunua kiwanja kwetu kwasasa utaweza kulipia kidogo kidogo hadi miezi Nane (8) tena bila kutanguliza ile asilimia 30 ya malipo ya awali. Aisee! Utapata wapi Ofa kubwa namna hii!!?

Na Ofa hiizi ni kwa Miradi yetu yote ya OYSTERBAY na SGR View Mwalugoye

Usisahau kuwa Miradi yetu yote imeshawekewa barabara pamoja na beacons, na kusogezewa maji kwa kila kiwanja. Huduma za kibinadamu k**a umeme, shule, zahanati na eneo la kuchezea watoto na vingine vingi, vyote vinapatikana.

Ishi Kijanja, Ishi kishua kwa kujipatia Plot moja kuanzia Tsh 3,000/= hadi 7,500/= kwa square meter moja, ukikamilisha malipo unapata mkataba na hati ya Kiwanja yenye jina lako bure kabisa.

Kwenda Site ni bure na ukiwa mbali tutakutumia Ramani uchague hukohuko.

Tafadhali usipitwe na Offer hii maalumu ya sikukuu kwa kupiga simu sasa:
0677000026/0677000028
Au
-fika ofisini kwetu Shinyanga
Jengo la NSSSF Mpya - Barabara kuu ya Mwanza
Ghorofa Na 1. na utajipatia zawadi kedekede

Kumbuka, UJANJA NI KIWANJA na viwanja ni Oysterbay.

Tunajua hakuna kiwanda kinachotengeneza Ardhi, tununueni hiihii iliyopo maana haizalishwi nyingine. Karibu Brotherhood S...
28/11/2023

Tunajua hakuna kiwanda kinachotengeneza Ardhi, tununueni hiihii iliyopo maana haizalishwi nyingine.

Karibu Brotherhood Survey Services Co. Ltd tukupatie Ardhi kabla haijaisha.

Piga sasa 0677000026/27/28

*OFFER KUBWA YA MWISHO WA MWAKA!!!*๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ 01. Brotherhood Survey Services Company Ltd - katika Mchongo wake wa Viwanja vya ...
14/11/2023

*OFFER KUBWA YA MWISHO WA MWAKA!!!*๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

01. Brotherhood Survey Services Company Ltd - katika Mchongo wake wa Viwanja vya Makazi na Biashara uitwao *Oysterbay Project*๐Ÿ‘Œ wamekuondolea Downpayment(malipo ya awali) ya 30%.

02. Malipo ni Cash na Installment, ukilipa cash unapata punguzo la Tsh 300/= kwa kila square meter. ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ*Na kwasasa ukilipia kwa Installment(kidogokidogo) ni awamu sita, na Offer ni kwamba, sasa hakuna kutanguliza 30% ya kianzio, badala yake utaigawa mara sita gharama ya kiwanja ulichochagua na kuanza kukilipia. Mfano; kiwanja cha 3,000,000/= utaigawa mara 6 na kuanza kulipa 500,000/= kwa kila mwezi.* ๐Ÿ‘

> Mradi huu ni wa Kishua kwelikweli, ni kilomita 4 tu toka katikati ya Manispaa ya Shinyanga, eneo hili lipo barabarani kabisa kwenye lami uelekeo wa Old-Shinyanga palipo na Kona ya Chibe. ๐Ÿ‘Œ

> Mradi wote umeshawekewa barabara pamoja na beacons, na kubwa kuliko yote ni kusogezewa *maji* kwa kila kiwanja. ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

>Huduma za kibinadamu k**a umeme, shule, zahanati na eneo la kuchezea watoto na vingine vingi, vyote vinapatikana. โœ…

03. Ishi Kijanja, Ishi kishua kwa kujipatia Plot moja kuanzia *Tsh 7,000/= (plot za makazi) na 7,500/=(plot za makazi na biashara)* kwa square meter moja* ukikamilisha malipo unapata mkataba wa mauziano na hati ya Kiwanja yenye jina lako bure kabisa. ๐Ÿค™๐Ÿฝ

04. Kwenda Site ni bure na ukiwa mbali tutakutumia Ramani uchague hukohuko.๐Ÿ™

05. Piga simu sasa:
0677000026/0677000028
Au
-fika ofisini kwetu Shinyanga
Jengo la NSSSF Mpya - Barabara kuu ya Mwanza
Ghorofa Na 1. ๐Ÿšถ๐Ÿพ๐Ÿšถ๐Ÿพ๐Ÿšถ๐Ÿพ

Kumbuka, UJANJA NI KIWANJA na viwanja ni Oysterbay.๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

We are commited to making your better and safer Home. Please Visit us to meet your special Offer. Call: 0677000026/26/28
09/11/2023

We are commited to making your better and safer Home.

Please Visit us to meet your special Offer.

Call: 0677000026/26/28

Lengo letu ni Kuhakikisha kila mtu anapata Kiwanja hata k**a kiasi cha Pesa alichonacho ni Kidogo. Lipia kidogo Kidogo k...
07/11/2023

Lengo letu ni Kuhakikisha kila mtu anapata Kiwanja hata k**a kiasi cha Pesa alichonacho ni Kidogo.

Lipia kidogo Kidogo kwa awamu sita na upate kiwanja cha Ndoto yako.

Sasa hakuna kisingizio kingine cha kutokumiliki kiwanja.

Piga sasa;
0677000026/27/28

Sisi tumekurahisishia wewe kupata Makazi bora katika Sehemu sahihi. Furaha yetu ni kuliona tabasamu lako katika makazi y...
04/11/2023

Sisi tumekurahisishia wewe kupata Makazi bora katika Sehemu sahihi.

Furaha yetu ni kuliona tabasamu lako katika makazi yako mwenyewe.

Tafadhali njoo tuzungumze tukupatie kiwanja Chako. 0677000026/27/28

Brotherhood Survey Services Co. Ltd imeandaa ofa maalumu kwaajili yako. Karibu tuzungumze, kwa maana kiwanja chako ni ju...
01/11/2023

Brotherhood Survey Services Co. Ltd imeandaa ofa maalumu kwaajili yako.

Karibu tuzungumze, kwa maana kiwanja chako ni jukumu letu siku zote.

Asanteni kwa kutuamini.๐Ÿค

Na ikawe kheri kwenu wote.Kumbuka; Ujanja ni Kiwanja.
28/09/2023

Na ikawe kheri kwenu wote.

Kumbuka; Ujanja ni Kiwanja.

Address

NSSF MAFAO HOUSE
Shinyanga
3710

Opening Hours

Monday 07:30 - 17:00
Tuesday 07:30 - 17:00
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 17:30
Saturday 07:30 - 15:00

Telephone

+255677000026

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brotherhood Survey Services Co. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category