15/05/2026
Karibu NOFO LIMITED! Kampuni bora na pendwa kwa miradi halali ya viwanja Tanzania 🇹🇿
🔥 Tunakuletea MRADI MOTOMOTO uitwao MZENGA "B" HIGHLIFE uliopo jirani kabisa na Mlandizi!
📍 SIFA ZA MRADI WETU: ✅ Viwanja vyetu vimepimwa na vina bikoni za halmashauri na mwisho wa malipo utapata HATI KUBWA! ✅ Huduma zote muhimu zipo! Shule 🏫, maji 🚰, hospitali 🏥 na umeme ⚡ ✅ Eneo lipo tambarare, linapendeza na limepangwa kisasa kwa makazi ya ndoto zako 🏡✨
💰 BEI YA VIWANJA: 📏 Sqm 400 kwa Tsh 1,000,000 tu! 🤑 Lipa CASH au kwa AWAMU hadi miezi 3!
📍 OFISI ZETU: Tunapatikana Sinza A, mkabala na Mlimani City – Karibu ujionee mwenyewe!
🚌 RATIBA YA KWENDA SAITI: Huwa tunatembelea saiti kwa usafiri bora kabisa ambao ni full AC. Ndani ya usafiri utapata muziki mzuri, maji, juisi na biskuti! 🚐✨
Siku za kwenda saiti ni tatu; ▶️ Jumanne ⏰ 2:30 Asubuhi! ▶️ Alhamisi ⏰ 2:30 Asubuhi! ▶️ Jumamosi ⏰ 2:30 Asubuhi!
➡️ Safari huanzia ofisini kwetu Sinza A – mkabala na Mlimani City!
✨ Usikubali hadithi zisizo na kichwa wala miguu – chukua kiwanja chako leo kutoka NOFO LIMITED na uanze kujenga maisha ya ndoto zako 🏡📈
📲 Piga simu sasa Twende Saiti!
OwnAPlot MaishaBora