Kushi'$ people/waafrika na tamaduni zetu

Kushi'$ people/waafrika na tamaduni zetu Iman ya rasta/ mtu mweusi

12/04/2022

Rastafar,inaelezwa kuwa ni harakat za kuuludia utamaduni wetu wa afrika ,ikiwa mavaz,mahusiano,mapenz,michezo na ngoma,ibada ,kupinga na kuutokomeza mfumo wa unyonyaji wakibabeli au babelon systemy na kupinga matabaka waafrika wote ni sawa na anapaswa kuabudiwa ni mmojat! Kalbuni wakush wote kwa upendo kuchangia mada za kurasa hii na kulike ili mchapishaji awe na moyo wa kuendelea kushiriki elimu hii,God bless kush'speople

06/04/2022

Rastafar ninin? Rastafari inaeleza kua ni tamaduni au tamabora kwa lugha ya kirasta katika maisha ya kiafrika inajumuisha michezo'mapenz. Ndoa chakura. ibada; salamu vifo na imani ambavyo hutajwa hotofautiana na jamii zingine maelezo haya uchukuliwa k**a utamaduni au rastafari

Leo tumzungumzie rasta japo kwa ufupi.Rasta ni nani? Kila mmoja najua atakua na jibu lake na ufahamu wake juu ya rasta b...
04/04/2022

Leo tumzungumzie rasta japo kwa ufupi.

Rasta ni nani? Kila mmoja najua atakua na jibu lake na ufahamu wake juu ya rasta basi tushirikishane.
RASTA
ni mtu mweusi/mwafrika au mweupe mwenye kutetea' kutunza na kuithamini haki ya mwafrika

Address

Ruvuma
Songea

Telephone

+255753926211

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kushi'$ people/waafrika na tamaduni zetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category