08/02/2026
Nauza Friji nzuri sana kutoka brand kubwa duniani kwa vifaa vya umeme especially Friji nayo ni LG, hawajawahi kukosea kwa upande huu! Nilinunua million 1,350,000 ila nauza million 1 kamili, nimetumia miezi michache sana! Almost miezi saba 7, mimi nasafiri mkoa mwingine kikazi kwhy sina uhakika wa vitu vyangu kufika salama that's why nimefikia uamuzi wa kuuza! Unayejua ubora wa hizi friji na thamani yake halisi nitafute haraka!
Specifications zake ni k**a ifuatavyo>>>>>
Refrigerator; Energy Consumption
Type; Refrigerator - Freezer
Model; GV - B212PLGB
Rating; 80 W
Total Volume; 217 Litres
Manufacturer; LG
Smart Inverted Compressor
10 Year Warranty
Made in Vietnam🇻🇳.
Sio China hii ni Vietnam namaanisha ni habari nyngine!
Naliuza million 1 tu;
Karibuni matajiri wenzangu tunaomiliki utajiri wa vifaa vya umeme mjini😊.